Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

CCM wanajivunia kutawala katika katiba dhaifu yenye miongo 4 ! siku wakikubali kuanza upya na katiba mpya nitaamini CCM ni imara ila kwa sasa haina tofauti na mtoto anayejifariji sababu kila kitu analetewa na wazazi hana habari ipo siku itampasa asimame mwenyewe!
 
Huyu Mama alikuwa na busara sana siku za nyuma sijui ni nini kilichomsibu
Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
 
Siku ukiamua kurudi shule niambie ada ya english course nitakulipia....
You mean the English I have used in my sentences isn't up to a par? Then would you please tell me where the problem is, so I could perhaps make the needed corrections? Thanks for your cooperation!
 
Atengue kauli maana inaonyesha tayari yeye ashajipigia kura hivyo haina haja ya kumuongezea kura Sasa ngoja tupigie ubwabwa.
 
Kasema kweli, huku JF tunajidanganya, tunaji aminisha na tunajitahidi kuwaaminisha wengine kitu tunachojua sio kweli.
Upinzani bado sana, ni vifaranga kwa CCM.

Ndio maana baada ya uchaguzi lazima itengenezwe longo longo TUMEIBIWA, UTAIBIWA HUNA CHA KUIBIWA.
 
Back
Top Bottom