Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Huyu mama nilikuwa namheshimu sana, kumbe ni zwazwa kiasi hiki,
 
Eti watashinda sasa kampeni Hadi wanapiga magoti za nn kwann wanatumia gharama kubwa Sana kujinadi si wakae tu dodoma wajiapishe Kama ni rahisi hivyo.
 
Hata kama ni kweli Samia angepiga kimya, kusema maana yake ana hofu
 
Wito sehemu yeyeto wakigoma kutuletea maendeleo tugome kulipa Kodi maana huo ni wizi, why uchukue Kodi za watu then uwanyime maendeleo
 
She has spoken a very good point,because it's hard for opposition to defeat CCM . People loves CCM alot and they gonna vote for it no matter what.
You risen on studpity system that's always you support stupidity this country is for Tanzanian not for ownership or single group
 
She has spoken a very good point,because it's hard for opposition to defeat CCM . People loves CCM alot and they gonna vote for it no matter what.
Rudi darasani shogaangu ukarekebishe tense kwanza......
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wapinzani hawataki kuukubali..CCM ni jabali la siasa za Tanzania hebu mjifunze ili zamu yenu ikifika mwaka 2100 mjue namna bora ya kuongoza nchi.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
Sijawahi ona wapinzani mabwege kama wa Tanzania. Unaweza kuwa mtu makini ukaibiwa!? Ni mabwege tuu na mazuzu ndiyo huibiwa.
 
She has spoken a very good point,because it's hard for opposition to defeat CCM . People loves CCM alot and they gonna vote for it no matter what.
Kuna point hapo?? Halafu tumia lugha unayoimudu. People loves ndio nn??? Unawachanganya wenye lugha Yao.
 
So what's wrong with it?
It's a hard-to-read sentence Kwa kweli. Better write several short sentences than a single very long sentence.

Hii lugha c yetu. Hatupaswi kuifwatafwata saaaaanaaaa. Haichelewi kukuacha mavodo wazi.
 
Kwa

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
hiyo anataka kutwambia kuwa wataiba kura Mwaka huu tumewapania kuwatoa kwa nguvu
 
Sijawahi ona wapinzani mabwege kama wa Tanzania. Unaweza kuwa mtu makini ukaibiwa!? Ni mabwege tuu na mazuzu ndiyo huibiwa.
Ndugu wewe ni mnufaika wa Serikali tunayoenda kumalizana nayo tarehe 28/10?? Mbona kama ume-panic Sana. Take it easy, usijaze ma-adrenaline mwilini ni masumu.

Point yako ni ipi hasa mana nikama unapiga Tu mikelele. Just put yourself together eleza nini wataka kusema mana unatukana wapinzani wote nchi nzima. Kivipi??
 
Duh...
Kuna nini lakini

She shouldn't have said that line.

Kauli hii kama wanajua wataunda serikali kwanini wafanye kampeni.

Alafu hayo maendeleo yanayo yanayozungumzwa kwa zaid ya miaka 60 na CCM hii hii ni yapi.
Huoni,,fara ww
 
Back
Top Bottom