frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Hafiki wap fara wwHuyu mbona hafiki mbali...nadhan mmeelewa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafiki wap fara wwHuyu mbona hafiki mbali...nadhan mmeelewa..
Uwaz huo ndo unauongea ww faraAwe muwazi tu kuwa tunapanga kuiba kura
Ni jpm mitano tenaKama ndivyo mbona unahangaika kupiga kampeni!!? Mama hekima umezisahau wapi tena!? Naamin umeteleza tu!
Wanao lalamika kuwa wanaibiwa kura. Mtu gani makini unaibiwa? Mabwege na mazuzu ndiyo huibiwa. Kwa habari ya trh 28, hilo sitajadili maana sinaga tabia ya kujadili ndoto aotazo mchana mwenye njaa kali.Ndugu wewe ni mnufaika wa Serikali tunayoenda kumalizana nayo tarehe 28/10?? Mbona kama ume-panic Sana. Take it easy, usijaze ma-adrenaline mwilini ni masumu.
Point yako ni ipi hasa mana nikama unapiga Tu mikelele. Just put yourself together eleza nini wataka kusema mana unatukana wapinzani wote nchi nzima. Kivipi??
Sielewi umeandika nini apo,labda ufanye kujijibu mwenyewe.Kwani hata kuna anakuwa umuhimu kiasi cha kudhani una wa kumtisha hata kama ana madhara? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sielewi umeandika nini apo,labda ufanye kujijibu mwenyewe.
Niambie hapo 🖕 uilimaanisha nini? Kwamba wewe una kiswahili cha kipekee kiasi kwamba hakuna anaeweza kukielewa? Kama yupo mtag aje afafanue ulichoandika hapo.Kwani hata kuna anakuwa umuhimu kiasi cha kudhani una wa kumtisha hata kama ana madhara? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huna lolote unaloweza kujadili kuhusu siasa, na hii mada tayari imekushinda kwahiyo jitaahidi kusubiri hoja mserereko utembee nazo.Kwa kudhania "apo" ni kiswahili si ajabu kuwa huwezi kuelewa ninachoandika.
Tafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
Naona ametofautiana na bossi wake, boss wake amesema kama hujachagua ccm hakuletei maendeleo yeye anasema wataleta maendeleo kote, ccm kule bara kumbe muarobaini wao ilikuwa ni Tundu Lissu, ni wazi ccm wanahofu ya TL sana, walijidanganya kabla ya uchaguzi eti upinzani hautakuwa na nguvu mana mkuu kajenga flyover na kununua ndege. sasa TL amevuruga kote kote juu chini juu hizo bara bara na ndege sasa hakuna kiongozi wa ccm anaweza kusimama kwenye kampeni akazitaja tena kila kitu alichofanya boss wake Lissu ameweka wazi huo ufisadi, sijui vitambulisho vya rais nadhan wamejuta kuleta hivyo vitambulisho kumbe havina ata jina la mtumiaji kila kitu ni ufisadi mtupu tena uliokubuhu.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Ana hofu huyo, kimbunga cha Lissu kinawavuruga na kuwafanya waishi kwa hofu ya kushindwa uchaguzi.
Safari hii wanajidanganya. Kwamba uchaguzi hauna maana Tanzania? Ni kiini macho tu! Mdharau mwiba, mguu... Ngoja tuone watakavyoiba.
Utajuaje unakubalika na wengi wakati uchaguzi haujafanyika bado?Watu kweli mnakuwa wagumu wa kuelewa. Mtu anayekubalika na wengi ukimnyima kura wewe haitasaidia, kwa sababu bado atashinda na kuunda serikali. Uchaguzi uliopita baadhi ya majimbo yalichukuliwa na upinzani, lakini hilo halikutosha kuinyima CCM overall victory na ridhaa ya kuunda serikali!
Kwa ujumla, Upinzani bado hawajajua jinsi ya kushinda uchaguzi. Nguvu ya CCM iko chini, ambako hata social media kwao ni msamiati au luxury. Hao ndio “the silent majority” wanaoibeba CCM. If the Opposition doesn’t capture this gigantic cluster, losing an election to CCM is inevitable. Upinzani watabaki kulialia tu kwamba wameibiwa kura.
Utajuaje unakubalika na wengi wakati uchaguzi haujafanyika bado?
Kumekuwepo na kauli na vitendo vya kutisha wapiga kura, kwamba, mwaka huu utake usitake ccm inashinda kwa kishindo. Hapa ccm wanacheza na saikolojia ya wananchi kwamba, wakate tamaa wasiende kupiga kura ya UKOMBOZI ili wao ccm kwakuwa wanategemea wanachama hai waweze kujishindia kwa Uraihisi.
Niwahakikishie tu, uchaguzi huu niwakipekee Sana, utakuwa wazi, Kila mtu atajua wapi wamepata ngapi na Nani kaongoza mapema tu kwa kuwa hawataweza kuzibiti mitandayo yote, itawalazimu NEC kusoma matokeo Kama yalivyo na hakutakuwa na wasiwasi, hivyo tuzidi kuhamasishana tujitokeze tukapige kura.
#kura ni haki yako, nenda kapige kura
hizi shule za kata ni balaa sana !Swala ni kwamba, muamko kwa CCM ni wa kipekee mwaka huu 2020 kulinganisha na 2015. Watanzania sio watu wa kujaribu mambo wasio yajua, kwa sasa CDM inawaambia maneno mengi ambayo hata wao CDM hawayaamini. Mfano, kuruhusu mifugo kuchungwa kwenye hifadhi za mbuga za taifa, au kulinda uhuru wa vyumbani kwa kisingizio cha kuwapa watu uhuru wa faragha. Je ikiwa mtu anamtwanga mkewe kabla ya kumlazimisha tendo la ndoa je, serikali ya CDM itakataa kuingilia kati kwa kuogopa uhuru wa faragha? Hatujaongele kuweka madini yetu rehani na kuigawa TZ kwa majimbo huku majimbo yasio na rasilima na watu wa kutosha ya kubaki kuwa masikio kutupwa.