PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aisee ili neno Who are you limeshtua dunia hata kiduku mwenyewe ajawahi kulisema.

Kumbukeni kila chochote mnatoa kwa wa who are you.
wakiamua kuwavurugia teknolojia mnazojiona nyie mumezidi hawa Who are you.
 
ngoja tarehe 9 tudukue mfumo wa malipo, mwenye laki 3 bank atakuta milioni 30
 
Nampa miezi 6 Kama atakuwa kwenye icho kiti
Acheni fikra za kitumwa nyie waafrika
Kwani mzungu nani?
Hili ndio tatizo la kukosa elimu na kushinda mitandaoni.
Kipi anatutisha mzungu hapa afrika?
Wao ndio wanategemea kuja kuiba huku ndio maana wanapambana kuweka viongozi wezi km wao.

Ondoeni udhalili vichwani mwenu. Usione siku zote mtu mweupe yuko juu yako.
Amka nyumbu wahedi
 
Hata weekhaijaisha kaomba poo mwenyewe.....kuna nini hapo kawapa migodi yoote na LNG yooteee
 
DUnia ya leo inaongongozwa na watu chupiti wengi sana. Ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya miaka ya sitini na sabini.
 
Watu km nyie mtakuwa ni watumwa wa akili mpk siku mnazikwa.
Wake the hell up nigga .
Mzungu ni paka tu. Acha kujiona mnyonge we nyumbu.
Fact: Kutokujiona wewe mnyonge hakukufanyi uwe jasiri, wakati wewe ni mnyonge.
 
Fact: Kutokujiona wewe mnyonge hakukufanyi uwe jasiri, wakati wewe ni mnyonge.
Mnyonge ni wewe unawmuona mtu mweupe yuko juu yako.
Mimi sijawahi kuwa chini ya mkoloni kwa namna yyt.
I am proud African
 
"tunajua ndugu zako wengi wamekufa, umebakiwa na ndugu mmoja na unampenda sana'

Kwahyo mnamtisha kumtekea mpendwa wake?
 
Mnyonge ni wewe unawmuona mtu mweupe yuko juu yako.
Mimi sijawahi kuwa chini ya mkoloni kwa namna yyt.
I am proud African
Mimi simuoni mtu mweupe yupo juu yangu simply because of his skin color. hivyo sio mnyonge. Nadhani kwa nyakati hizi tupo well beyond kuangalia color ya mtu. Jichunguze we mwenyewe unapojenga hoja kwa kutegemea skin color.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…