PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ngoja nisubiri Tume za nje!!
 
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea.
Huu mchezo sio kwanini zisingefanya pamoja, halafu hii tume ya ndani sio tume ni genge lake sasa unajichunguzaje mwenyewe na unachunguza nini ushahidi wote upo na unaonekana?
 
Wasting time and public funds
 
Tatizo ni kwamba hamuaminiki hata chembe; na TUME ipo pale ili ikileta majibu watu waweze kupona au kuona kwamba Haki imetendeka

Kwahio sababu hamuaminiki (na hii ni ajabu since majority wanawakubali kutokana na matokeo ya uchaguzi kwa kupata Kura za kudefy logic) - Mtakachofanya ni kupoteza pesa zetu kwa kufanya ambacho hakikubaliwi / hakitaaminiwa na majority.....;
 
Ndiyo, shinikizo lipo.
 
Eti anataka tume ichunguze sababu ya maandamano. Yaani anatuona sisi wote ni matako yake kabisa.
 
Ndo mjue madhara ya kumpa uongozi mtu mwenye elimu ya hapa na pale
 
Reactions: al1
Atabana ataachia. Damu za watoto, wamama na wengine wote waliouwawa bila hatia zitamrudia.
Kwa akili yake finyu anafikiri ataweza kupidisha upanga wa Mungu utakaotua juu ya kichwa chake. Kisa matamshi yake ya hovyo?
 
Ule wakati wa Jeshi kuchukua nchi umewadia maana ndio taasisi iliyobaki bila dini wala kabila machoni pa watanganyika na ndio walioonesha usikivu juu ya kujizuia kumwaga damu za watanganyika. Jeshi chukua nchi kisha Simamieni uchunguzi na Uchaguzi
 
Anajitekenya na kucheka mwenyewe

Kama anawashauri wampeleke pale hosp ya milembe chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…