PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hichi ki mama hakuna wa kukiazima akili??? Yani uandae tume ya kufuta ushahidi alafu ndio uruhusu tume kutoka nje?? Hivi mtu akiwa hana kisogo (chogo) ina maana automatically akili yake inakuwa flat??!!
 
Ule wakati wa Jeshi kuchukua nchi umewadia maana ndio taasisi iliyobaki bila dini wala kabila machoni pa watanganyika na ndio walioonesha usikivu juu ya kujizuia kumwaga damu za watanganyika. Jeshi chukua nchi kisha Simamieni uchunguzi na Uchaguzi
Jeshi lichukue nchi? Wewe umetumwa eti? Hivi nchi ni mali ya wananchi
 
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea.

*** Ni kama kuna shinikizo fulani, vinginevyo angesema hatuhitaji tume yeyote kutoka nje.

View attachment 3504826
Hiyo tume yake inaweza kuharibu ushahidi
 
Back
Top Bottom