GE2025 Samia: Uchaguzi umeisha, sasa tusimame pamoja kama Nchi

GE2025 Samia: Uchaguzi umeisha, sasa tusimame pamoja kama Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi.

Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.

 
Huyu Mama ni shetani.

Ila damu za Watabganyika wenzetu aliowaua ili atutawale kwa nguvu hazitamuacha salama.

Its just a matter of time.
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
..hili suala anapaswa ulizungumzie kwa akili na moyo wake mwenyewe, sio kwa kusoma statement aliyoandikiwa.
 
Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi.

Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.
View attachment 3496588

Yaani hata kujutia vijana waliokufa hakuna. Maza kweli ana roho ngumu. Au ndiyo ile dhana yake ya KIFO NI KIFO TU.
 
..hili suala anapaswa ulizungumzie kwa akili na moyo wake mwenyewe, sio kwa kusoma statement aliyoandikiwa.
Hana hiyo talent ya kuongea binafsi.
Hapo ilikua ni kutoa speech kavu ye anasoma
 
Back
Top Bottom