figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.Huyu Mama ni shetani.
Ila damu za Watabganyika wenzetu aliowaua ili atutawale kwa nguvu hazitamuacha salama.
Its just a matter of time.
Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi.
Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.
View attachment 3496588
Kapaniki. Hayupo sawa kiakili sababu hajui kesho yakeYaani hata kujutia vijana waliokufa hakuna. Maza kweli ana roho ngumu. Au ndiyobile dhana yake ya KIFO NI KIFO TU.
Hana hiyo talent ya kuongea binafsi...hili suala anapaswa ulizungumzie kwa akili na moyo wake mwenyewe, sio kwa kusoma statement aliyoandikiwa.
Hivi nani kamuandikia kijinga hivi?..hili suala anapaswa ulizungumzie kwa akili na moyo wake mwenyewe, sio kwa kusoma statement aliyoandikiwa.