GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.

Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,

“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
 
View attachment 3482372

Dah!
Huyu ndiye mgombea urais wa nchi!
 
Yani nikapigie kura malamborghini ya kizinga na Abdul?!
Pumbav
 
Kwamba tunajali afya za watu siku ya upigaji Kura na sio miaka mingine yote inayobaki ?

Kama kweli tunajali watu si tungehakikisha Affordable Healthcare for all ?!!!! ili nguvu kazi iendelee kufanya kazi ?

Narudia tena maadui zetu hawajawahi kubadilika (Umasikini, Ujinga na Maradhi) na Ugonjwa unatibiwa Hospitalini na sio kwenye Box la Kura ili watu waende Kula....
 
Mh 😳
 
Attachments

  • IMG_20211029_105959.jpg
    IMG_20211029_105959.jpg
    15.5 KB · Views: 32
Watu wanaotekwa, watu wanauawa lkn hasemi kitu wala hafanyi kitu. Kura ni muhimu kuliko uhai wa watu? Huyu kimama ana shida kichwani.
 
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.

View attachment 3482372
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,

“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
Nadhani mwaka huyu kura zitapigwa kwa lazima,yaani itakuwa unakutwa nyumbani unakula fimbo tano unaenda kituoni kupiga kura.
 
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.

View attachment 3482372
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,

“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
Amepagawa haelewi hata anachokiongea.
 
Back
Top Bottom