GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hasara kubwa kuwa mtanganyika 2021-2030
 
Hii ni mbaya, badala ya kukimbizwa kituo cha afya nabebwa kwenye machela nikapige kura aiseee!.
 
Huo mpango atakaofanyiwa wa kupiga kura mbona ajauweka wazi?

Hii ni mbinu mojawapo ya wizi wa kura wenye akili kubwa tumeshaelewa.
 
“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kura na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa Mjumbe wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura.” - Amesema Samia.
 
Back
Top Bottom