tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Dah!Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.
View attachment 3482372
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,
“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
Ndio hiyo mkuu ambaye anasifiwa kuwazidi kwa mbali marais waliyomtangulia na ndio huyo masheikh wanaona anachukiwa kisa tu ni muislamu.Dah!
Huyu ndiye mgombea urais wa nchi!
Kwa hiyo sifa muhimu kwa Masheikh ni kuwa ""Mwislam" kwa kiongozi kuwa mzuri!Ndio hiyo mkuu ambaye anasifiwa kuwazidi kwa mbali marais waliyomtangulia na ndio huyo masheikh wanaona anachukiwa kisa ni muislamu.
Yani nikapigie kura malamborghini ya kizinga na Abdul?!Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.
View attachment 3482372
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,
“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
Nadhani mwaka huyu kura zitapigwa kwa lazima,yaani itakuwa unakutwa nyumbani unakula fimbo tano unaenda kituoni kupiga kura.Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.
View attachment 3482372
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,
“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango kwenda kupiga kura, sasa kama hayo mnatukubalia naomba nione mikono ya kura,” amesema Samia.
Huwa namshanga huyu mamaWhat a desperation
Amepagawa haelewi hata anachokiongea.Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.