Hopkinsvile
Member
- Jan 17, 2026
- 91
- 315
Nina uhakika utanenepa hutakuwa na stress tena za watanganyikampendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
Kwenye movie tunaona ma tycoon wanacheza dili hata gerezani sembuseIla hakuna dili
Labda ICC ya Kantalamba au Nanjilinji ndiyo unaiongelea.mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
kama akiwa na bahati sana, karume anakuzoom kaburiniLabda ICC ya Kantalamba au Nanjilinji ndiyo unaiongelea.
Wale wahalifu walistahili kuchezea risasi la sivyo nchi ilikuwa inawaka moto
Inategemea na aina ya diliKwenye movie tunaona ma tycoon wanacheza dili hata gerezani sembuse
kubwa la maadui
ChawaIla Samuya kachokaaa.....na aliyemdanganya aende Ethiopia Kujichoresha ni nani..??
Ila Samuya kachokaaa.....na aliyemdanganya aende Ethiopia Kujichoresha ni nani..??
nonsensempendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
Lazma uchoke oct 29 haikuwa mchezoIla Samuya kachokaaa.....na aliyemdanganya aende Ethiopia Kujichoresha ni nani..??
Ndio hivyo! Ameshaingia cha gentsKifupi comrade samiah ameingia mkenge kiboya sana!
Nina mashaka sana na IQ ya wazanzibari waliomshauri samiah Hadi akagombea kienyeji enyeji Hadi wahuni wakamwingiza kingi kiasi hiki!
Maagizo aliyopewa na the state yalikua mepesi sana Wala yasingemuumiza kihivyo Hadi akakosa urais!!
Yeye angeitisha katiba mpya yenye option yaserikali mseto pale 2022 kama the state walivyomwambia kwenye Uzi was (operation imesisitishwa the state wamesema apewe muda) kwamba "Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa uandishi katiba mpya!na pale angecheza kama pele NUSU Mkate uwepo kwenye katiba mshindi was pili was urais anakua waziri mkuu na mgombea mwenza anakua wazirimwenye dhamana!!
Ingemsaidia kusimamisha mgombea was chadema hasta wa mchongo mwenye ushawishi halafu matokeo yangechakatwa TU kimedani!!Hebu mfanye hata heche john kuwa mgombea mgombea mwenza awe salum mwalimu!!
Hiyo inge neutralize hasira za October na wala no reform no election isingepata nguvu cozwatz wangekuana shauku ya kuona namna serikali mseto itakavyo kua!!
BINAFSI NINGEKUA ABDUL NISINGEKUBALI MAMA YANGU MZAZI AIINGIE MKENGR KAMA HUU!!
SASA HI I TUNGEKUA TUNAJADILI WAZIRI MKUU WA UPINZANI ANAVYOHENYESHA WATENDAJI WA SERIKALI!!
NAAMINI KWENYE NEUTRALIZATION zaidi kuliko RIGIDITY KAMA ILE!!
KAZI NA UTU,TUMASONGA MBELE!!
Asiye taka kustaafuIla Samuya kachokaaa.....na aliyemdanganya aende Ethiopia Kujichoresha ni nani..??
Na ninani alimuingiza mkenge...???Kifupi comrade samiah ameingia mkenge kiboya sana!
Nina mashaka sana na IQ ya wazanzibari waliomshauri samiah Hadi akagombea kienyeji enyeji Hadi wahuni wakamwingiza kingi kiasi hiki!
Maagizo aliyopewa na the state yalikua mepesi sana Wala yasingemuumiza kihivyo Hadi akakosa urais!!
Yeye angeitisha katiba mpya yenye option yaserikali mseto pale 2022 kama the state walivyomwambia kwenye Uzi was (operation imesisitishwa the state wamesema apewe muda) kwamba "Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa uandishi katiba mpya!na pale angecheza kama pele NUSU Mkate uwepo kwenye katiba mshindi was pili was urais anakua waziri mkuu na mgombea mwenza anakua wazirimwenye dhamana!!
Ingemsaidia kusimamisha mgombea was chadema hasta wa mchongo mwenye ushawishi halafu matokeo yangechakatwa TU kimedani!!Hebu mfanye hata heche john kuwa mgombea mgombea mwenza awe salum mwalimu!!
Hiyo inge neutralize hasira za October na wala no reform no election isingepata nguvu cozwatz wangekuana shauku ya kuona namna serikali mseto itakavyo kua!!
BINAFSI NINGEKUA ABDUL NISINGEKUBALI MAMA YANGU MZAZI AIINGIE MKENGR KAMA HUU!!
SASA HI I TUNGEKUA TUNAJADILI WAZIRI MKUU WA UPINZANI ANAVYOHENYESHA WATENDAJI WA SERIKALI!!
NAAMINI KWENYE NEUTRALIZATION zaidi kuliko RIGIDITY KAMA ILE!!
KAZI NA UTU,TUNASONGA MBELE!!
Ngoja nikwambie kwasasa hivi ... no body cares about that Bibi.....hakuna anayemtambua kama Rais zaidi ya Chawa wake....tukianza kwa kumnukuu SSH mwenyewe aliwahi sema, UKIFANYA WATASEMA USIPOFANYA WATASEMA . . .
angeingia mitini napo mashambulizi yangekuwepo tu
mpo usingiziniNgoja nikwambie kwasasa hivi ... no body cares about that Bibi.....hakuna anayemtambua kama Rais zaidi ya Chawa wake....