Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

Samia alipoanza hakuonekana kama angekuja kuwa mbaya kiasi hiki. Nini kilitokea mpaka kuwa muuaji wa kiwango hiki. Uuji wa binadamu wenzako ni uharamia wa kiwango cha kutisha. Yaani kutoka kwenye kuonekana kama mtu mwenye kuthamini utu mpaka kugikia kiwangocha kuwa shetani muuaji, hapo kati kulitokea nini?
 
Sio tu milo hata baba wataifa Kikwete akimtembelea anaruhusiwa kupiga ndonga.
 
Ondoka kwenye ndoto usije kukata gogo kitandani. Rais ni Samia hadi 2030 whether una penda au hupendi, hauna namna utabadili
 
Mlim underrate mkazani mtamburuza, naye kawaonyesha nguvu aliyonayo. Mlim beep naye kawapigia. Vumilieni machungu hadi 2030
 

Too many uforced errors this administration seems to make. I wonder weather it's incompetence or corruption or both.
 
Too many uforced errors this administration seems to make. I wonder weather it's incompetence or corruption or both.
Calculated movement aiseh,very calculated!! intentioned errors kabisa ili wamfelishe!!

Kulikua Kuna ulazima Gani wa ushindi 98%!?kulikua Kuna ulazma Gani kuingia kwenye uchaguzi bila compromised constitution ambayo Bado ingekipa Chama ushindi huku upinzani ukiwa Bado wenye nguvu!!?

Unashindwa kuelewa hofu yote Ile ilikua ya nini!!?kama Zanzibar Kuna mseto na mambo yanaenda!huku ilishindikana vipi!!?

KAZI na utu,tusonge mbele TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…