Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Waislamu sijui mkoje ? Ngoja aje avengers diamond kwa pesa za uchiuchiAcha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Mchemba. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa utatumia fedha toka hazina ni matumizi ya hovyo kupita kiasi.
Huyu mtu akiachwa ataivuruga hii nchi to the maximum.
Aachwe mara ngapi?Huyu mtu akiachwa ataivuruga hii nchi to the maximum.
Samia anahusikaje na kujenga msikiti. Sazingine tumieni akili badala ya vikalio vyenu hivyo. Kila kitu Samia Samia, hv kwl anahusika na hayo mambo ya Makonda? Acheni chuki za kipuuzi, tumkosoe panapostahili tu.Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa utatumia fedha toka hazina ni matumizi ya hovyo kupita kiasi.
Huyu mtu akiachwa ataivuruga hii nchi to the maximum.
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa utatumia fedha toka hazina ni matumizi ya hovyo kupita kiasi.
Huyu mtu akiachwa ataivuruga hii nchi to the maximum.
Magufuli alichangisha hela kanisani kwaajili ya kujenga msikiti maana alijua waislamu wanapenda kitonga ndiyomaana wanaume wanaofirwa wengi ni waislamu...mbona Magufuli alikuwa anajenga misikiti hamkusema kitu?
..hata Samia ameshajenga misikiti na makanisa na haikuwa tatizo.
..kama Makonda anataka kujenga msikiti asibugudhiwe.
..mambo yanayohusu imani yanahitaji uangalifu mkubwa kuyazungumzia.
..Kuna watu wako stand by kuingiza hoja zao za udini. Muwe waangalifu.
Magufuli alichangisha hela kanisani kwaajili ya kujenga msikiti maana alijua waislamu wanapenda kitonga ndiyomaana wanaume wanaofirwa wengi ni waislamu.
Magufuri hakutumia pesa za umma yaan mapato ya serikali bali alichangisha kanisani ili wakawasaidie waislam..mbona Magufuli alikuwa anajenga misikiti hamkusema kitu?
..hata Samia ameshajenga misikiti na makanisa na haikuwa tatizo.
..kama Makonda anataka kujenga msikiti asibugudhiwe.
..mambo yanayohusu imani yanahitaji uangalifu mkubwa kuyazungumzia.
..Kuna watu wako stand by kuingiza hoja zao za udini. Muwe waangalifu.
Hawa jamaa udini unawasumbua sana ni watu hatari sana huyo Samia kachangia mara ngapi ujengwaji wa makanisa mwaka jana alichangia nadhan inafika milioni mia moja kanisa la Anglican hawa jamaa tuwe nao makini sanaSamia anahusikaje na kujenga msikiti. Sazingine tumieni akili badala ya vikalio vyenu hivyo. Kila kitu Samia Samia, hv kwl anahusika na hayo mambo ya Makonda? Acheni chuki za kipuuzi, tumkosoe panapostahili tu.
Magufuri hakutumia pesa za umma yaan mapato ya serikali bali alichangisha kanisani ili wakawasaidie waislam
Kutoa pesa kwenye mfuko wa umma kutaferisha sekta fulan