Wanacholalamika ni kuwa watu wenu wanaojaza viwanja wanaletwa toka mikoa jirani kwa malori kama ng'ombe, pia hao wengi ni wafanyakazi wa serikali kama walimu, askari, polisi, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari na wafanyakazi wa umma. Ni kwamba mnafeki.....mnafeki kuwa mnapendwa kumbe mnalazimisha.Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo
" Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni wengi mnoo, ni wengi mno. Mpaka watu wengine huko wananlalamika kwa nini Watanzania mnajaza viwanja vya CCM" amesema Mgombea Urais CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan