Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Magufuli baba lao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondeeleo tuna msanii gani nije kumcheki?
Mtahangaika sana bure tu, Magufuli baba laoLazima uwe wa kihistoria wasanii 200 si mchezo, kazi na shule vimefungwa ili uwe wa kihistoria.
Kuna msanii gani leoSiwaoni wanafunzi hapa uwanjani wako shuleni!
CCM siyo Kanu bwashee!KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?
Prof Jay!Kuna msanii gani leo
Eti engine mbili,Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakuugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea kura mheshimiwa Magufuli, mtampa? Namuombea kura diwani, mtampa? Mzee Mungu akubariki sana, sisi tunajua unatupenda sana jimbo la Ismani, tunakukaribisha sana.
MAGUFULI: Nileteeni mheshimiwa Lukuvi ili tufanye nae kazi, angalau kama mnanipenda na mimi imebaki miaka yangu mitano, nimalize na Lukuvi. Amefanya kazi zake vizuri sana katika kipindi kilichopita na nimeshangaa kwanini hakupita bila kupingwa kwa sababu siku za nyuma alikuwa anapita bila kupingwa na mimi kule jimboni kwangu nimewahi kupita bila kupingwa. Mtamleta Lukuvi?
Amenisaidia sana katika kazi, amefanya kazi katika wizara ya Ardhi ambayo mimi mwenyewe nimewahi kuwa waziri wa Ardhi. Tukawezesha vijiji 920 katika nchi hii kuvirudisha katika matumizi ya wananchi badala ya kuwa hifadhi za taifa.
Ingawaje nafahamu, shujaa huwa hapendwi kwao. Hata mti wenye matunda ndio unapigwa mawe lakini umuhimu wa Lukuvi mimi nausema kwa wazi, nileteeni Lukuvi, nileteeni na diwani wa CCM. Matunda yake mtayaona, na mimi naomba kura.
SAMORA, IRINGA
POLEPOLE: Leo hapa Iringa tumekuja na injini mbili za ziada kwa ajili tu ya kuweka mambo sawa. Tuna wana CCM waandamizi, makada waandamizi nitawatambulisha baadae. Sasa wameanza kuweweseka, mahala fulani wanasema, Kassim Majaliwa ni waziri mkuu, kwanini anazunguka?
Nikasema humu tayari, dozi imeingia maana kila anapoenda kuharibu, Rais anamtuma Majaliwa anasafisha. Ndugu Kassim majaliwa ni sehemu ya viongozi wa kitaifa wa chama cha mapinduzi na leo tunayo heshma, tunao wajumbe wengine wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ambao wamepewa majukumu mahsusi ya kuzunguka kitaifa kupiga kazi njema ya kutafuta kura.
Wasanii tunawatumia tangu 1995,na tunawapiga kila uchaguzi kuanzia Serikali za mitaaa mpaka Urais. Chama saccos cha mbowe, huwezi linganisha na CCM hata kidogo.Lazima uwe wa kihistoria wasanii 200 si mchezo, kazi na shule vimefungwa ili uwe wa kihistoria.
BABA wa Mbinguni (MUNGU) YEYE ndo BABA wa Mataifa; huyu baba uliyetupa hana lolote ni sifa.Magufuli baba laoooooooooo.
Unatambua kwa nini hakwenda mara ya kwanza kwa mujibu wa ratiba. Alitaka hakikisho la kusombewa watu kwa kadiri iwezekanavyo kutoka mikoa jirani. Na hapo kweli mburura wa kijani amewapata, Ila cha kusikitisha hakuna sera wala hoja, yaani ni 'empty & hopeless case" Hata wasikilizaji waliohudhuria wamenuna kama vile wamelambishwa ndimu.Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakuugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea kura mheshimiwa Magufuli, mtampa? Namuombea kura diwani, mtampa? Mzee Mungu akubariki sana, sisi tunajua unatupenda sana jimbo la Ismani, tunakukaribisha sana.
MAGUFULI: Nileteeni mheshimiwa Lukuvi ili tufanye nae kazi, angalau kama mnanipenda na mimi imebaki miaka yangu mitano, nimalize na Lukuvi. Amefanya kazi zake vizuri sana katika kipindi kilichopita na nimeshangaa kwanini hakupita bila kupingwa kwa sababu siku za nyuma alikuwa anapita bila kupingwa na mimi kule jimboni kwangu nimewahi kupita bila kupingwa. Mtamleta Lukuvi?
Amenisaidia sana katika kazi, amefanya kazi katika wizara ya Ardhi ambayo mimi mwenyewe nimewahi kuwa waziri wa Ardhi. Tukawezesha vijiji 920 katika nchi hii kuvirudisha katika matumizi ya wananchi badala ya kuwa hifadhi za taifa.
Ingawaje nafahamu, shujaa huwa hapendwi kwao. Hata mti wenye matunda ndio unapigwa mawe lakini umuhimu wa Lukuvi mimi nausema kwa wazi, nileteeni Lukuvi, nileteeni na diwani wa CCM. Matunda yake mtayaona, na mimi naomba kura.
SAMORA, IRINGA
POLEPOLE: Leo hapa Iringa tumekuja na injini mbili za ziada kwa ajili tu ya kuweka mambo sawa. Tuna wana CCM waandamizi, makada waandamizi nitawatambulisha baadae. Sasa wameanza kuweweseka, mahala fulani wanasema, Kassim Majaliwa ni waziri mkuu, kwanini anazunguka?
Nikasema humu tayari, dozi imeingia maana kila anapoenda kuharibu, Rais anamtuma Majaliwa anasafisha. Ndugu Kassim majaliwa ni sehemu ya viongozi wa kitaifa wa chama cha mapinduzi na leo tunayo heshma, tunao wajumbe wengine wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ambao wamepewa majukumu mahsusi ya kuzunguka kitaifa kupiga kazi njema ya kutafuta kura.
Kama hiviKuna matrela ya matrekta, malori na mabasi mangapi yameandaliwa hapo maana nimesikia wanasombwa kutoka vijiji vyote....