Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Mliaza toka Jana kujaza mji wa iringa tunaona wageni wengi sana hapa iringaUwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa mwaka 1976 kwa sababu leo tuna jambo letu na wasanii hapo Samora na matractor pamoja na malori ya kusomba watu leo yamefanya kazi nzuri sana.