Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Polepole anadai Lissu hana kumbukumbu. Labda angemcheck na Boss wake ........ Jamaa asbuhi anahutunbia somewhere kuwa Wamchagulie wa CCM la sivyo hatawapelekea maendeleo, mchana anadai Maendeleo hayana Chama.. Huyu mtu ni wa kumuogopa!!
 
No bana usichanganye mambo sio mkutano wa kampeni hiyo ni CCM fiesta haina tofauti na Fiesta za Prime Time Promotion na Clouds FM ni katika mtindo huohuo

Hata hilo nyomi huwa minafuata Fiesta na sio mkutano wa kampeni
 
CCM inashinda ushindi wa tano bila,goli la tano la mkono wa Mungu wa Maradona.
 
Eti engine mbili,
Majaliwa Angekuwa engine angelazimisha tume kumpitisha bila kupingwa?
Historia yake katika kuamini wizi wa kura iko wazi.
Majaliwa akiwa mwalimu kule Mtwara akiwa msimamizi wa kituo waliahirikiana na Meck sadiq kutorosha masanduku ya kura wakitumia gari muhamed enterprises.
Sifa hii ya wizi wa kura ndio iliyompa ukuu wa wilaya wakati ule wa Kikwete.
 
Haka ka sredi kanavyojikongoja kalikuwa kamefika page ya tatu mods wamekavuta tena shati. Sasa wanataka kukamaliza au?
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Lazima uwe wa kihistoria wasanii 200 si mchezo, kazi na shule vimefungwa ili uwe wa kihistoria.
Wasanii tunawatumia tangu 1995,na tunawapiga kila uchaguzi kuanzia Serikali za mitaaa mpaka Urais. Chama saccos cha mbowe, huwezi linganisha na CCM hata kidogo.
 
Unatambua kwa nini hakwenda mara ya kwanza kwa mujibu wa ratiba. Alitaka hakikisho la kusombewa watu kwa kadiri iwezekanavyo kutoka mikoa jirani. Na hapo kweli mburura wa kijani amewapata, Ila cha kusikitisha hakuna sera wala hoja, yaani ni 'empty & hopeless case" Hata wasikilizaji waliohudhuria wamenuna kama vile wamelambishwa ndimu.

Ebu linganisha tu, na uangalia kule ktk mkutano wa Nyamongo, licha ya watu kupigwa mabomu ya machozi, bado watu wamejaa hamasa, sura zenye bashsha na furaha huku wakimsikiliza kiongozi wao wampendaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…