Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Magufuli anasema hana connection Iringa na wanamwangusha

1. Connection gani hasa? Msigwa kuna undugu sasa huwezi hata kuongea na ndugu yako.

2. Ubunge ni uwakilishi tu wa wananchi. Je, hakuna watendaji ambao ndiyo wanatumia kodi za wananchi kuanzia mkuu wa wilaya, mkoa na wakurugenzi?

3. Ina maana nchi ikiwa na Rais wa CCM na wabunge wengi wa wapinzani kama 70% hutatumia pesa kwenye miradi ya kodi za wananchi kwa asilimia 70% kwasababu ya connection?

4. Mbona Dar kulikuwa na Wabunge wa upinzani lakini bado miradi ilifanyika? Je, kulikuwa na connection gani pale Ubungo na miradi yote ile au Kawe na madaraja mapya?

Ukiwa kama Raisi inabidi uwe na mambo muhimu ya kuongea badala ya kuweka hasira bila kuwa na point. Vilevile inasikitisha kwa msomi kuongea hivi na wananchi wakilinganisha na Lissu hawawezi hata kuamini kuwa Rais ndiyo unaongea agenda za ajabu kama hizi.

Yaani watu wamekutana kukusikia unaongelea connection na kutisha maendeleo hakuna sijui mpaka wachague CCM!. Miaka mitano itaisha na wewe utaondoka! watu wape uhuru wa kumchagua mwakilishi wao.
 
Ameokota tu neno Coneection akaanza nalo. Hana mpangilio wa contextual wa kile anachokwenda kuzungumzia. kifupi dynamical contexts yake hai-match na kile anacho kiongea. He is chit chat speaking.
 
Itakufa kifo kibaya siku sio nyingi CCM haipo tena kipo kivuli cha ccm

ni mwezi ujao, mwezi unaanza ijumaa tuseme ni wiki kadhaa tu mbele ambapo kwa mara ya kwanza cdm inapata kura chache tangia dunia ianze
 
ni mwezi ujao, mwezi unaanza ijumaa tuseme ni wiki kadhaa tu mbele ambapo kwa mara ya kwanza cdm inapata kura chache tangia dunia ianze
Baada ya mungu wa logola kuziiba ole wenu
 
Wingu lote limemkataa Dikteta uchwara.
Mtekaji.
Muuaji
Mpoteza watu.
Mbabikiaji watu kesi.

Damu za watu zinamlilia.
 
Mji wa Iringa ulikua na kiu ya watumbuizaji, wamefika kiu yao bado haijakatika maana muda umekua mchache na wasanii baadha waliohidiwa kufika hawakuperfom au walikua na wagombea wengine.

Baada ya wasanii watu wa Iringa wameelekezwa Nani wamchague huku wakitishwa kwamba wasipomchagua mgombea wa ccm hawatapa maendeleo.

Katika tafakuri ya jioni wajuvi wakawa wanajiuliza toka lini wakinga wakategemea chama kuendesha maisha yao?

Kulima miti ya mbao kunahitaji fadhila za CCM au Ni juhudi binafsi? Majimbo yaliyochagua CCM kwa miaka mbona nimaskini maradufu ya Iringa mjini? Je watu wa Iringa tuige kwa waliofeli(majimbo yaliyokua CCM?) Au waliofanikiwa ( Iringa mjini chini ya Chadema)?

Tunaungana na waliofanikiwa ili tusiondoke midomoni mwenu milele
 
Hongereni sana Watanzania uwepo wa wenye mawazo mbadala unaongezeka miradi ya maendeleo kama maji,barabara,afya si hisani bali wajibu wa serikali. Wananchi wanapaswa kudai na kuhoji kupitia wawakilishi wao mahiri,kadiri ya pato la taifa,sio wapiga makofi na waimba mapambio ya kuabudu.
 
Yani me nilikuwepo pale samora kiukweli magufuli hana mvuto wa kisiasa wengi wamekuja tu kumshangaa palipowa sana, alikuwa akijaribu kuchekesha ila wanyalu wamekaza sura. MAGU baada ya tarehe 28 lazma achanganyikiwe.
 
Mji wa Iringa ulikua na kiu ya watumbuizaji, wamefika kiu yao bado haijakatika maana muda umekua mchache na wasanii baadha waliohidiwa kufika hawakuperfom au walikua na wagombea wengine...
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Tuzungumze ukweli, what else spoken pale?

Dah yaani mshua hana point kbs, jamaa siyo politician kabisa!
Aaaaa....

Tuseme tu wasiokua na hoja ni wengi, kuna wengine wanamtaja Rais Magufuli mwanzo hadi mwisho wa kampeni
 
Watu wa Iringa wanajielewa sana,hizi porojo za kina polepole na CCM yake wala haziwastui.

Iringa maendeleo yapo si kwa sababu ya CCM, ni bidii ya watu wa huko.

Na imani Kubwa Msigwa kutetea Ubunge wake pasi na shaka.

Tunahitaji Haki , Uhuru na Maendeleo ya Watu.
 
Back
Top Bottom