Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hapo machifu wa wapi mbona uchifu ulikufa miaka mingu sana, kuleta uchifu ni hatari kubwa zaidi ya utawala wa majimbo, utawala wa majimbo hauna ukabila wakati chifu ni wa kabila husika.Jesca Msavandavangu mhehe mzawa wa Iringa aungwa mkono na machifu wa kihehe kuwa mbunge wao
Machifu wanyoosha mikono ju u kuwa watampa kura zao kwenye mkutano Leo wa kampeni Iringa uliofurika mno watu
Hapo kinachoendelea ni kuunga mkono mtu wa kabila letu wahehe! CCM mnapenda sana kutugawa watanzania.