Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mtasomba Sana watu kwenye malori yenu lakini urais mwaka Mungu , mbingu na ardhi zimewakataa kijani kibichi hata mfanyeje .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika ahadi zote amezitekeleza?Ukiona hivyo maana yake, Uwezo wa Magufuli kusimamia Kodi za Watanzania katika kutekereza Ilani anayokuwa imeandaliwa aitekeleze ni kubwa kuliko Ilani inayoandaliwa
Na hakuna dhambi, kama mtu umeambiwa kukimbia mbio za kuzunguka uwanja mara 24 ukamaliza na hukuchoka ukaona uendelee na Kwa Kasi Kwa kuwa nguvu unayo, kunatatizo gani mkuu
Na NDIYO Maana akaenda zaidi,Una uhakika ahadi zote amezitekeleza?
1. AjiraNa NDIYO Maana akaenda zaidi,