Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hata mimi nimeliona hilo google ana kila aina ya makorokoro kwenye resultsIla Bing naona ina results chache sana ukilinganisha na Google
Kama itokee tena Apple nao wajitoe google lazima apoteaneDuh! Wanaiua google ki maso maso
Itakua patashika nguo kuchanika[emoji26][emoji22]Kama itokee tena Apple nao wajitoe google lazima apoteane
Google ni habari nyingine aiseeAccuracy ya google kukuletea unachokitafuta ni 90%
Bing wana safari ndefu sana kufikia level za googleBing kumfikia google in terms of quality itachukua 10 yrs
Kupitia Apple google wanaingiza $20 bln kwa mwaka imagine nao wahame kama SamsungItakua patashika nguo kuchanika
Google haifi kizembeDuh! Wanaiua google ki maso maso
100 yrs,Bing kumfikia google in terms of quality itachukua 10 yrs
Bing ni ya kitambo Ila haina muendelezo mzuri, ime-stack somewhereGoogle ni habari nyingine aisee
Hasara hyo ilitokana na nini mkuuNafikiri ile hasara kubwa waliyoipata Samsung ya karibu $3 bln katika mauzo ya semiconductor ndani ya robo ya kwanza ya mwaka huu 2023 (Jan-March) imewachanganya sana wanaanza kufanya maamuzi ambayo huenda yakawa-cost
Sio rahisi bing kuitoa google, google ana kila aina ya resource,Duh! Wanaiua google ki maso maso