Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Huawei huzijui mzee. Nimetumia simu kama Samsung, Huawei, na hizo iPhone. Huwa ni badilisha badilisha.. Kwa mtu anae jua simu hawezi beza Huawei hata kidogo. Labda kwa sasa hivi kwa jairi ya vikwazo
Continuity Camera ya iphone which allows you to take pictures na kuscan documents using your iPhone's camera, and then view and edit them on your Mac. Hi ni mojawapo ya features nzuri na ya kipekee. Wengine watsiga tu!
 
Simu sio camera peke yake. Kama camera S21 ina camera nzuri. Mwisho wa siku tech zipo tofautu, unapima unata nini
 
Samsung is Bae..
Microsoft is helping Google close the gap somewhat with its new Your Phone app for Windows, which allows Android users to respond to texts and notifications on their PCs, though the experience is a little clunky and there is still work to be done.
 
kwakua umeanza na neno "binafsi" nimekuelewa,isingekua kuanza na hilo neno ningekua na insha ya kukupa hapa hadi ungejuta kuikubali hiyo iphone.
Tuanze na camera kwanza ipi ina camera bora kati ya Samsung na iphone be honest!
 
😂😂 Hi hii Huawei inayocorrupt mafiles! Jamani jamani ndio maana nilisema watu wa infinix na tekno mkae pembeni!
We utakuwa unaongelea zile huawei za miaka ya 2012/kurudi nyuma...Kipindi hiko huawei ilikuwa kawaida...Saivi huawei ni moto wa kuotea mbali...kwa trend za mauzo zilivyokuwa ilikuwa inaonekana kabisa huawei inakuja kuipiku iphone kwa mauzo.. wamarekani wakaona isiwe kesi wakaipga vikwazo...Sasa jiulize makampuni ya simu china ni mengi, kwann waizuie huawei tu?
 
Ni kweli kabisa bila ban huawei angewatoa sokoni wenzake
 
Back
Top Bottom