Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Sawa lakini kwa case ya Samsung na iPhone Samsung ndio bora zaidi
Mwisho wa siku mtu unaangalia unapenda nini Ila overall bado Samsung ni zaidi ya Apple ukilinganisha devices zao

Hujaeleza kwanini ni bora kuliko iphone. Kuna kitu kinachosababisha watu wanunue iphone na kuna kitu kinasababisha watu wanunue samsung.

Samsung inakupa flexibility wkt iphone based on security zaidi.
Lazima ziwe tofauti. Mwisho wa siku user anatakana nini
 
Kibongobongo customisation is better than security
Pia One UI ina features nyingi nzuri kuliko iOS mfano Samsung DeX
 
Kuiflash nasikiaga ni ngumu kinoma yaan labda hyo
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike bei

Simu ambazo hata zikiingia password tu haziflashiki kwa sasa ni Sharp/Arrows, hizi ndo mpaka sasa ni pasua kichwa na ndo simu zenye security kubwa kuliko zote duniani
 
Kibongobongo customisation is better than security
Pia One UI ina features nyingi nzuri kuliko iOS mfano Samsung DeX

Kibongo bongo customization inatumika sana kwasababu elite class inayo hitaji top tier privacy ni ndogo sana.
And ni wachache sana wanaojali hiyo kitu.
Wakati kwa wenzetu ulaya ni vice versa. Privacy ni moja ya component muhimu sana.

Is why narudi pale pale its depends na user anataka nini
 
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike bei

Simu ambazo hata zikiingia password tu haziflashiki kwa sasa ni Sharp/Arrows, hizi ndo mpaka sasa ni pasua kichwa na ndo simu zenye security kubwa kuliko zote duniani

Ameshindwa kujieleza na kutofautisha privacy na security za iphone.
 
Back
Top Bottom