Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Samsung unazoziita upuuzi ndio zinamfanya Apple akose usingiziKuna i phone (peke ake) afu kuna SIMU NYINGINE ndo kina samsung,huawei,infinix,tecno,sjui oppo,kina vivo na upuuzi MWINGINE
Sio kwa sasaHujui simu wewe....Huawei ni level moja na hizo samsung na iphone
We jamaa unachekesha SanaAsanteeeee! Samsung wameukimbia uzi huku!
Kuna i phone (peke ake) afu kuna SIMU NYINGINE ndo kina samsung,huawei,infinix,tecno,sjui oppo,kina vivo na upuuzi MWINGINE
Wanapitwa na Xiaomi,We jamaa unachekesha Sana
iPhone 14 Pro Max ni mavi tu mbele ya S23 Ultra
*S23 Ultra ina 10× optical zoom wakati 14 Pro Max inaishia 3× optical zoom. Zooming ya Samsung ni next level huyo iPhone anakalishwa
*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa (iPhone 14 Pro Max) inakosa fingerprint scanner. Hiyo Apple Face ID ni overhyped tu na kamwe haiwezi kuwa more secure than fingerprint scanner ya kwenye S23 Ultra
*Inachekesha sana kuona Apple ana-advertise kuwa iPhone 14 Pro Max inafika brightness ya 2000nits wakati S23 Ultra ina 1750 nits tu na bado kwenye real life S23 Ultra ni brighter than iPhone 14 Pro Max
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vina resolution kubwa kuliko vya Samsung wakati S23 Ultra ina resolution ya 1440×3088p hiyo iPhone 14 Pro Max ina 1290×2796p.
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vinaonesha details vizuri kuliko vya Samsung wakati pixel density ya kioo cha iPhone 14 Pro Max ni 460ppi, huku cha S23 Ultra ni 500ppi
*Inachekesha sana kuona kampuni ya Apple inatumia panel ya IPS LCD kwenye simu ya bei kama iPhone 11, cha ajabu iPhone 13 bado ina 60Hz refresh rate [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona mtu anasema hakuna simu kama iPhone wakati S23 Ultra ina stronger CPU, stronger GPU, faster memory type na high gaming performance kuliko iPhone 14 Pro Max.
*Inachekesha sana kuona base storage ya Samsung Galaxy S23 Ultra ni 256GB, lakini kwa simu expensive kama iPhone 14 Pro Max bado base storage ni 128GB [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona S23 Ultra inakuja na fast 45W wired charger Ila mpinzani wake iPhone 14 Pro Max analeta utani wa slower 27W charger na anaiita Fast charger [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona wireless charging kwenye S23 Ultra ni 15W huku iPhone 14 Pro Max ni utani mwingine wa 7.5W [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa inatumia karibia 2hrs ku-charge simu kutoka 0% hadi 100%
Samsung Galaxy S23 Ultra (charging from 0% to 100%)... 59min
iPhone 14 Pro Max (charging from 0% to 100%)... 1hr 52min
*Inachekesha sana kuona Samsung Galaxy S23 Ultra inarekodi 8K videos kwenye kamera ya nyuma ila iPhone 14 Pro Max bado inarekodi maximum video za 4K tu [emoji38][emoji38]
*Kuna comment imenichekesha Sana, eti mtu anasema kwa kuwa Samsung inatumia Android basi ipo Sawa na Tecno.
Samsung Galaxy S23 Ultra ina feature ya Samsung DeX na iPhone haitokuja kuwa na feature nzuri kama hii miaka ya karibuni
Samsung is better than iPhone.
Sio tu ni opinion yangu, bali ndio ukweli pia
Wanapitwa na Xiaomi,
Natumia Mi 11 Ultra 36 min battery full
Natumia original charger yake ya 67W
Nafikiria kununua hiyo redmi 10c, mlisema bei inarange kwenye 300k, unless niwe nimesahau jina la hiyo simu husika.Xiaomi 13 Ultra - Full phone specifications
www.gsmarena.com
Xiaomi ni Moto mwingine. Hiyo simu niliyoweka hapo kwenye link ni unyama kuliko hata hiyo iPhone 14 Pro Max
Mimi sio fan wa refurbished products lakini Samsung Galaxy S9 ndio nzuri zaidi.Nafikiria kununua hiyo redmi 10c, mlisema bei inarange kwenye 300k, unless niwe nimesahau jina la hiyo simu husika.
Kati ya hiyo, na refurb ya s9 kipi ni bora?
Ndo ninayotumia sasaXiaomi 13 Ultra - Full phone specifications
www.gsmarena.com
Xiaomi ni Moto mwingine. Hiyo simu niliyoweka hapo kwenye link ni unyama kuliko hata hiyo iPhone 14 Pro Max
Ngoja niifikieir refurb.Mimi sio fan wa refurbished products lakini Samsung Galaxy S9 ndio nzuri zaidi.
Redmi 10C inaonekana kuwa ni nzuri ukilinganisha na low end kutoka makampuni mengine kwa bei hiyo Ila ukilinganisha na flagship ya 2018 kama Samsung S9 basi Redmi 10C ipo chini
Ndo ninayotumia sasa
Zoom ya camera tu ni 120x
Napiga picha za mbali kabisa
Anatumia Xiaomi Mi 11 Ultra. Sio Xiaomi 13 Ultra
Nilijichanganya mkuu, kumbe aliweka link ya Mi 13 Ultra, mimi natumia Mi 11 UltraAnatumia Xiaomi Mi 11 Ultra. Sio Xiaomi 13 Ultra
Binafsi napenda selfie camera iwe katiNilijichanganya mkuu, kumbe aliweka link ya Mi 13 Ultra, mimi natumia Mi 11 Ultra
Ila hapo watanikosa sababu wameweka selfie Camera kati, mimi napenda simu yenye selfie camera pembeni au iwe inatoka kwa juu kama Selfie Camera ya Lg Wing 5G