mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Shekhe nihivi huyu mshikaji wako angekuwa anaweza hiyo kazi sidhani kama angekuwa bongo narudia tena sidhani kama angekuwa bongo shekhe kariakoo hapa ingekuwa hicho kitu kinaweze kana watu wengekuwa hawauzi kama spea pia apple store zetu tungekuwa na mzigo kama wenzetu wa android store
mkuu kama unamkumbuka snowden utaelewa ninachotaka kukwambia,yeye anasema kitengo chake walikuwa na uwezo wa kuchukua data za simu ya mtu bila hata kuiwasha,sio iphone wala itel,lakini kwa kazi moja tu,ya matumizi ya kiusalama sio kufungulia wezi waziuze.
nikija katika mtazamo wako,IOS zote zinapigwa kidole,ndio maana haipiti miezi miwili hujapewa security update,unadhani ni kwanini???watu wanaijua IT brother usibishe,shida inakuja simu imeripotiwa server za apple,ikirudi hewani tu kufuri inarudi.kwahiyo kazi sio kutoa lock kazi ni kuificha isionekane,kitu hiki hakipo,ndio maana wanaitoa mtandao ili imei no isijeonekana milele.
unadhani mtu aibiwe leo iphone 12 akaripoti polisi na kesi afungue(kumbuka imei haibadiliki ktk iphone),kisha akutwe nayo mtu mwingine jumapili ijayo,huyo fundi aliyeifungua anajua TCRA wanamdai 15mln na kifungo juu,hakuna fundi atakubali kurisk maisha yake straight kwa ujira wa laki 2.ni sawa na kwenda kuiba bank na panga,utaondoka na hela lakini usile kabisa hiyo hela kwa balaa litakalokukuta.
siku hizi android nazo zimekuwa changamoto kubadiri imei,unawezawekwa imei nyingine baadae ukiupdate mtandao unakwenda na maji.simu inabaki WIFI only.