Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Inakamatika ila kwa mbinde na ni kwa asilimia 10 pekee, kifupi kinachotukwamisha ni server za Huawei ni high security kuliko zoteHii mate 40 ndo haikamatiki mkuu?
Imagine iPhone 13 pro zinatoka kwa server lakini Huawei kuanzia Mate 40 Pro yenye Kirin 9000 imekuwa mazoezi ukiacha hiyo ina mdogo wake ipo P40 Pro hii ina kirin 990 5G tu lakini ukikuta yenye latest Harmony Os ya Huawei hii ni kazi nyingine ngumu kabisa niliyowahi kutana nayo japo ipo supported na Tools zangu lakini mteja angenipa muda wa kutosha nngemalizana nayo
Ukizama kwenye server services unakuta watu wanatoa iCloud, mi account lakini Huawei ID ni kazi nyingine kabisa
ndo maana mpaka sasa ukute server inatoa Mi account (hii ni ya xiaomi) ya china unakuta ni high price
Kifupi mchina kwenye issue ya security yupo vizuri ndo maana mmarekani kazipiga ban Huawei
Tukiachana n Huawei kuna simu Nyingine zinaitwa Meizu huku kuna Flyme account na ynyewe ni habari nyingine
Halafu anatokea mtu anabisha iCloud haitoki wakati hapa Aggrey watu tunamalizana nazo kimya kimya