Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iphone Ina muonekano Mzee hasa ndani natumia google pixel saiv ila hii iOS 16 imeshanitamanisha nirudi iOSKiufupi asilimia mkubwa tunaopenda iphone ni kwasababu haishuki thamani kirahisi kama kampuni nyingine za simu
Watu tunaongea tu ila high devices za samsung ni moto mwingine.kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??
sasa mbona hapo juu umeorodhesha vingi nje ya IOS!!!!maana ni sawa na kusema IPHONES nje ya kuwa na IOS ni tecno isiyo na matangazo.
ili uwe realistic sio wale wa iphone noma,usiweke ushabiki.
Achana na hizi mashine, hatari na nusu. Zione tu kwenye picha au mtu akusimulie, ila ukiambiwa ukae nayo siku nzima, hautatamani kuhama samsung.
Nimekuuliza kipaumbele chako kwenye simu ni nini? Tuanzie hapo kwanzaUnasimulia Kama kijiwe cha kahawa Tu MTU yoyote anayehack iOS 16 lazima atajirike sababu simu nyingi watu wanazo zimesizi Tu na hamna namna
![]()
Apple promises to pay $2 million for hacking iOS 16 lockdown mode - Daily Tech Tips
- Hack the iOS 16 Lockdown mode and get rewarded with mouth watering $2 million from Apple.droidvilla.com
Nimekuuliza kipaumbele chako kwenye simu ni nini? Tuanzie hapo kwanza
Pia ishu ya kuhack sio case kubwa kama unavyodhani wewe
Hao wametoa hiyo offer ili wajue udhaifu wao ulipo
wewe ni mtumiaji wa kawaida sasa sijajua unapozungumzia hacking umelenga nini haswa
Maana hacking inahusisha vitu vingi
Soon IT'S vs programers wataleta majibu kwani iOS 15 walisema oooh kubypass mwisho 12 kama Ina iOS 15 watu wakavuka mipaka Hadi 13 wanaivunja.Shekhe hivi 2 million dollar huzitaki kweli au kama kawaida unataka ubishi tuu kifupi bongo hakuna mtu anaeweza kuingusa iso 16 nasema tena hakuna na hayupo sijui huko mbele kwa wezetu wenye data base kubwa
Soon IT'S vs programers wataleta majibu kwani iOS 15 walisema oooh kubypass mwisho 12 kama Ina iOS 15 watu wakavuka mipaka Hadi 13 wanaivunja.
Sijasema iOS 12 au iOS 13 nimmaanisha hivi watu walisema iOS 15 itakuwa mwisho kubypass ni kwenye iphone 12 zilipoingia iphone 13 watu wakapita Nazo pia labda 14 sijui
Kila iOS ilikuwa na ugumu wake pale ilipotoka, kila kadri siku zilivyokwenda watu wakajua namna ya kuzipasua.Soon IT'S vs programers wataleta majibu kwani iOS 15 walisema oooh kubypass mwisho 12 kama Ina iOS 15 watu wakavuka mipaka Hadi 13 wanaivunja.
Sasa ufafanuzi gani unataka mzeee ukitaka kujionea nenda mwenyewe k/Koo iyo iOS 16 tusubiri muda TU iOS 15 walisema ivo ivo.Wakapitanazo wakinanani hao usije ukatuletea story za kahawa ebu. Toa ufafanuzi vizuri basi
Sasa ufafanuzi gani unataka mzeee ukitaka kujionea nenda mwenyewe k/Koo iyo iOS 16 tusubiri muda TU iOS 15 walisema ivo ivo.
Kwanza ujue bypass zipo aina nyingi na hiyo unayoisemea ni ya wifi only sim card inakuwa locked zinazofata ni bypass hiziShekhe mimi nipo kariakoo kiufupi napiga mishe na kuishii k/koo iphone kwanzia 11 ukisahau icloud tu inauzwa kama spea tu na wanzanza wakijitaidi sana inatoka ila haishiki mtandao wowote yanikiufupu itasumbua sana kisoftware so nikopo tu ila android hata mimi nikijipinda na youtube masaa machache tu natoa vizuri tuu bila shida
Kwanza ujue bypass zipo aina nyingi na hiyo unayoisemea ni ya wifi only sim card inakuwa locked zinazofata ni bypass hizi
Hello screen
Icloud activation lock
Turn off FMI
Disabled iphone forgot passcode
Network problem
Iphone kuishia kwenye logo
Software problem.
Izo zote wanafanya sa sijui ipo ambayo unaona hawaziwezi k/Koo nna mshikaj pale ndo ushu zake tatizo la bypass hutoweza kuapdate software yako katika simu akuna kitu kinashinrikana kule.
Sasa nimegundua tatizo lako lilipoShekhe hivi 2 million dollar huzitaki kweli au kama kawaida unataka ubishi tuu kifupi bongo hakuna mtu anaeweza kuingusa iso 16 nasema tena hakuna na hayupo sijui huko mbele kwa wezetu wenye data base kubwa
Mkuu kukuthibitishia hilo linawezekana lete iPhone yako Aggrey nipo kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa moja jioniShekhe nihivi huyu mshikaji wako angekuwa anaweza hiyo kazi sidhani kama angekuwa bongo narudia tena sidhani kama angekuwa bongo shekhe kariakoo hapa ingekuwa hicho kitu kinaweze kana watu wengekuwa hawauzi kama spea pia apple store zetu tungekuwa na mzigo kama wenzetu wa android store
Unapiga mishe kkoo lakini mishe zako sio ufundi simu wa softwareShekhe mimi nipo kariakoo kiufupi napiga mishe na kuishii k/koo iphone kwanzia 11 ukisahau icloud tu inauzwa kama spea tu na wanzanza wakijitaidi sana inatoka ila haishiki mtandao wowote yanikiufupu itasumbua sana kisoftware so nikopo tu ila android hata mimi nikijipinda na youtube masaa machache tu natoa vizuri tuu bila shida
simu kuwa safe, inategemea na mtumiaji kwa aslimia kubwa. haijalishi anatumia OS ipi..Unapiga mishe kkoo lakini mishe zako sio ufundi simu wa software
Sasa hivi mpaka iPhone 13 Pro tunamalizana nazo
Unapaswa kuelimishwa zaidi
Yupo shombi shombi aliibiwa iPhone 11 Pro Max akaitrack mara ya Mwisho kuonekana ni China Plaza kisha Likoma hakuiona tena
Kama unajifunza kwa kubishana umefeli mkuu tafuta njia sahihi ya kujifunza
Na kwa sasa tunapoelekea hatutatumia Box wala Dongle ni mwendo wa server tu
Upo sahihi mkuu ndo maana mimi nikamuuliza priority yake kwenye simu ni nini? Lakini kwa issue za security sijui useme ikiibiwa utaipata afanye kusahau tusimu kuwa safe, inategemea na mtumiaji kwa aslimia kubwa. haijalishi anatumia OS ipi..