Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
YessssIn terms of security hivi iphone alikuwa anammatch blackberry?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YessssIn terms of security hivi iphone alikuwa anammatch blackberry?
Baba hizi display za samsung hazina mpinzani, zunguka ulimwenguni kote hakuna kama samsung.Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.
Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.
iSheep nawasubiri.
Pitia reviews mtandaoniUmewahi ku hack Samsung ngapi? Tuanzie hapo kwanza
Kabla ya s21, panda juu kidogo ktk note 10+ hatari hii mashine.Tatizo la watanzania wengi ni wafuata mkumbo,unakuta mtu anakwambia iphone ni nzuri kwakuwa ina security bora,sasa ukimwambia aelezee huo ubora wa security kutoka iphone anabaki kubwabwaja tu!.
Watumiaji wengi wa iphone hasa vijana hapa Tanzania ni show off na u-much know mwingi wakiamini ndizo simu za kijanja zinazowavutia wanawake/wanaume wengi,hivyo wanaamini ukiwa na simu za iPhone basi kumpata mwanamke/mwanaume ni kugusa tu!.
Kuna kundi ambalo wao wanaamini ukiwa na iphone basi wewe ni mtu wa hadhi fulani na hugusiki wala husogeleki kirahisi rahisi hasa kina dada wanaojiita slay Queen.
Ni asilimia chache sana wanaonunua iphone kwasababu ya ubora na security,lakini wengi wao wanaangukia kwenye makundi niliyotaja hapo juu.
Binafsi naipenda sana Samsung na nimeanza kuitumia Mwaka 2010 hadi leo hii sijaona mbadala wa Samsung,ingawa nimewahi kutumia iphone 11 Pro max lakini niliamua kuigawa kwasababu niliona kama hainivutii nikaamua kurudi kwenye Samsung S9 ambayo natumia hadi hivi leo!.
Huwa naipenda sana Samsung kwasababu naona kwa upande wangu ni rahisi sana kuitumia na kuchezea vitu vingi,nadhani ni kwasababu pia nimetumia kwa muda mrefu sana,pia Samsung ukinunua orijino utaipenda sana,achana na zile za makumbusho na kariakoo ambazo nyingi ni fake au refub!.
Huwa siangalii sana security ingawa naamini katika security pia.
Next naangukia kwenye Samsung S21.
Samsung walikuja na wazo zuri kwenye midrange ila kadri siku zinavyosogea kama kajisahau,maana midrange za hivi karibu bei yake inakimbizana na flagship za baadhi ya matoleo mengineNilichogundua hapa wengine wanapozungumzia Samsung wanazungumzia hizi mid-range Samsung kama A-series hizo ni kwa ajili ya wenye kipato cha chini. Na hapa Samsung yuko sahihi kwa sababu alitaka pia awe na soko kwa watu wa hali ya chini aende sawa na simu za Kichina kama Tecno, Infinix, Vivo, Xiaomi n.k
Samsung flagship phones ni balaa lingine hapa tunazungumzia sasa Galaxy S-series
iPhone anangoja hapo kwenye Galaxy S‐series
Ni vile tu iPhone ni Mmarekani anajua jinsi ya kuibrand bidhaa yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sujui kama umeelewa ulichoandika, na ukute unatumia Tecno hapo na ishapasuka kioo tayari.Hapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhone
Ni Phantom 6 siyo Phantom X...Phantom X inetoka 2021 mkuu
Typo.Nilikuwa namskiliza Tu Kwanza View attachment 2364324
Bado niko sahihi tecno ameanza kuwa na Oled kabla ya Iphone.Nilitaka kushangaaa Tecno tangu lini wakawahi kuwa na amoled display kumzidi iPhone
Phantom 6Labda Mimi ndo sijui ni Tecno gani hiyo
Ila Huawei hawa jamaa ni balaaHao wote kwa Huawei ni wachumba
Kama hujawahi kutumia Huawei kuwa mpoleAcha kuota ndoto za mchana Eti Huawei!
Situmii iphone.kwani kwenye iphone unapata kipi cha ajabu ambacho wa tecno hapati???
tena anakuzidi yeye mpaka x anadownload.
kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??Situmii iphone.
1. Ila the whole experience iliopo kwenye apple ecosystem ni unbeatable.
2. Quality and durable products.
3. Slow depreciating products.
4. Uniqueness in OS.
Samsung should have their own OS sio kutumia android sawa na kina tecno.
Huwezi fananisha iOS na android mkuu!kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??
sasa mbona hapo juu umeorodhesha vingi nje ya IOS!!!!maana ni sawa na kusema IPHONES nje ya kuwa na IOS ni tecno isiyo na matangazo.
ili uwe realistic sio wale wa iphone noma,usiweke ushabiki.
Hivi vionjo vya android ya samsung ni sawa na tecno kumbe? Ila sibishi maana tecno mi nimeziona kwa picha tu sijawahi hata isogelea...Situmii iphone.
1. Ila the whole experience iliopo kwenye apple ecosystem ni unbeatable.
2. Quality and durable products.
3. Slow depreciating products.
4. Uniqueness in OS.
Samsung should have their own OS sio kutumia android sawa na kina tecno.
Samsung features zao sidhani kama zinaweza ingiliana na tecno labda kwakua sijawahi shika nisibishane sana.kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??
sasa mbona hapo juu umeorodhesha vingi nje ya IOS!!!!maana ni sawa na kusema IPHONES nje ya kuwa na IOS ni tecno isiyo na matangazo.
ili uwe realistic sio wale wa iphone noma,usiweke ushabiki.