Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Phantom X inetoka 2021 mkuu
Nilikuwa namskiliza Tu Kwanza
Screenshot_20220922-092347.jpg
 
1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps

2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.

Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Na hapo unacomment ukiwa unatumia Nokia C2
 
[emoji16][emoji16]mchunga mbuzi wa huko mbeya anasema watu wanamuona samsung hayuko serious[emoji23][emoji23]

jf bana aaaah.
unajua ukipata hasara mwaka mmoja tu unaofata huzalishi simu???sasa inaonekana samsung wanapata faida ndio maana unaona bado wanaendelea.

ukisema samsung na tecno ni simu sawa,unafanya nifikirie hapo uko na iphone 5c unakula maisha sawa na mtu wa iphone 11 maana wote mnakula ios bila tabu.
Natumia samsung ila sioni kama kuna cha ajabu napata mtu wa tecno hapati.
 
Ila android users hawana creativity kabisa.
Mimi ni MTU WA kuhama Hama Leo utaniona na Samsung,Google pixel, mwezi ujao iPhone napenda kuchanganya iPhone Wana mapungufu yao na android wanayakwao uzuri WA iPhone bwana ni secure Sana na ina uhondo wake ndani jinsi ukiitumia Kwanzia security,mpangilio WA apps,muonekano,network,napenda emojis zao pia, na ukiingia appstore hamna app ilio na ushubwada Yani Wana mchujo sio kama android apps za Kila Aina unazipata playstore takatala zote utazikuta appstore wanaweka apps zenye akili na za uhakika kiufupi iPhone wanajua kimuonekano WA ndani na security na mpangilio WA apps emojis,japo simu zao zinakulimit ku-accsess Baadhi ya vitu.
 
In terms of security hivi iphone alikuwa anammatch blackberry?
 
Back
Top Bottom