Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Google pixel 6 vs Samsung s22
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google pixel 6 vs Samsung s22
Huwezi fananisha iOS na android mkuu!
Niliuliza ka hack Samsung ngapu, akabaki anajamba jamba tu[emoji16][emoji16]hivi hizi story mnazitoa wapi???
Hujawahi kutumia iphon nyamaza tuHow security ni 0? iPhone ina security ipi ambazo Samsung haina? Tuanzia hapa ili tupate balance
Usi comment kama umebanwa haja. Usifikiri wote wa kuja, huenda nimeanza tumia iPhone kabla yako. Nachouliza naelewa sio we mshobokajiHujawahi kutumia iphon nyamaza tu
Na hapo unacomment ukiwa unatumia Nokia C2
Jibu swali mkuu umeulizwa hipi simu kali kati ya samsung na iphone?Kila mtu ana interests zake, haina haja ya kuponda upande mwingine.
Binafsi nkmetumia tecno then nikaja Samsung, nilikua samsung fan enzi hizo nimeishia s9. Baada ya apo nikahamia iphone 7 plus, nikaja xs max , 11 pro max na sasa 13 pro max.
Nishazoea iphone sasa, IOS yake na namna ilivo tu, kiasi kwamba hata wenzangu wenye Samsung s22 nikiishika tu nikaitumia kidogo nakua very bored. Na wao pia washazoea samsung zao wakishika iphone yangu wanaona ya ajabu.
Tena mimi sina mambo mengi sijui kufanya customization, kuhamisha mafaili sjui wapi, so sioni haja ya android. Nina matumizi ya kawaida tu
Mimi sipondi samsung, wala android, i don’t care about sjui vitu gani…. Its Just I LOVE IPHONE, na ntaendelea kuzinunua, na siwezi kuziacha labda waache production.
Sio ulimbukeni wala kujiona bora kama wanavosema hapa watu, ni vile tu nina mapenzi ya dhati na iphone, android siwezi hata iwe kali vipi
Jibu swali mkuu umeulizwa hipi simu kali kati ya samsung na iphone?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umemaliza kila kitu. Iphone ni kifungo cha kifahariNarudia n matunzo ya mtu, simu zangu siwekag protector na hazijawah kupata hata scratch tu na hakuna watu wana simu zimelika pemben ya vioo kama watu wa iphone
, eti unaongoza , kwamba ujisemeee tu upuuz alafu useme unaongoa
Fact n kama
Ram , leo iphone 14 zina RAM 4 mpaka 6 , wakati samsung ram hizo zilikua kwenye matoleo kuanzia 2016, leo iko kwenye RAM 16
Technology ya vioo iliyopo kwenye iphone 14 ambayo ndio inatumika kwa mara ya kwanza na iphone , samsung ako nayo since 2016
Wakat Iphone kwa mara ya kwanza amevuka megapix 12 kwenye iphone pro max, samsung mwaka 2020 kwenye galaxy s20 ultra aligonga megapix 108 na samsung s20 5g yenyewe ni megapix 48 ambayo leo ndio pro max 14 amekuja nayo , s20 n simu za 2020
Wakat iphone bado ako kwenye 4k@60 fps
Samsung alishafika 8k@24fps ambayo unaweza recodia movies ukauza netflix Amazon etx ikachezwa
Samsung za kuanzia 2020 hiz galaxy s series zinaenda hadi 920 fps kitu ambacho bado iphone anaota labda iphone 30 huko ndio atakuja kuwa nacho
Nimekuchapa ngapi hapo.?
Ninyamaze tu , unatumia iphone 12 yenye vioo vinavyofanana na infinx unakuja vimbia watu wa samsung? Acha bange
Ee umesema samsung ujui ubora wake nawakati umetangulia kusema umetumia samsung s9 , bhasi wew ujui simu kaa tu utulie mkuu.Samsung model ipi na iphone model ipi? Be specific
Enewei, kwangu mimi iphone ni kali (hizo Samsung sijui ubora wake). I stand to be corrected
By the way, mimi nilikua najibu mawazo ya wadau hapo juu waliokua wanasema kuwa wenye iphone ni watu wanaopenda show off.
Nimepimgana na idea yake kwa kutoa sababu zangu zinazonifanya nitumie iphone
hiyo Nokia c2 na iPhone yako ipi inayokaa chaji muda mrefu?Kwani ni lazima uwe na jamiiforums kwenye devices zako zote unazotumia?
Hack iphone ulipwe samsung ni android inahakiwa tu kirahis data za iphone zinakuwa salama sababu ya mfumo endeshi wake while kwa android usalama mdogo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sujui kama umeelewa ulichoandika, na ukute unatumia Tecno hapo na ishapasuka kioo tayari.
Mi ni mtumiaji wa Samsung[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sujui kama umeelewa ulichoandika, na ukute unatumia Tecno hapo na ishapasuka kioo tayari.
Unasimulia Kama kijiwe cha kahawa Tu MTU yoyote anayehack iOS 16 lazima atajirike sababu simu nyingi watu wanazo zimesizi Tu na hamna namnahiyo Nokia c2 na iPhone yako ipi inayokaa chaji muda mrefu?
Binafsi natumia Xiaomi Mi 11 Pro yenye Qualicomm snapdragon 888 5G Ram 12GB internal 256GB, Battery 5000 mAh
Ukitaka kupata full specifications nenda gsm arena utaikuta na ni simu ya mwaka jana hii
Halafu kuhusu security za iPhone hizo iCloud tunaruka nazo kama kawaida hakuna simu ambayo haiwezekani kwa sasa
Wao wanaboresha security na sisi tunaangalia namna ya kupita nazo hizo security zao
Simu pekee inayotuumiza kichwa kwa sasa kwa ubora wa security ni Huawei Mate 40 Pro na ndugu zake wanaotumia HiSilicon Kirin 9000(hii ni chip ya Huawei wenyewe) japo na yenyewe inautoaji wake kwa hardware
kwa sasa mpaka iPhone 13 Pro iCloud tunatoa sijajua wewe kipaumbele chako kwenye simu unaangalia nini
Mimi binafsi naangalia kioo na utunzaji chaji maana kuna muda huwa nalazimika kusafiri na huwa sizimagi data
droidvilla.com
Hebu eleza unavyifaidika na ubora wa tight security kuliko wa samsung!Security yao ni 0! How do you call it friendly user?
[emoji419]Google pixel ndio simu
Mimi iphone nimeanza kutumua 2010 wewe je? Kama huna unalofahamu piga kimya!!!! [emoji35][emoji35][emoji35]Usi comment kama umebanwa haja. Usifikiri wote wa kuja, huenda nimeanza tumia iPhone kabla yako. Nachouliza naelewa sio we mshobokaji