cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda simu yenye tundu moja la kamera.Camera bumper is becoming bigger and bigger and bigger.
Mpaka mtoto wa Steve Jobs aliwaponda majuzi hapa kwamba iphone wameshakosa ubunifu.
View attachment 2359949
We unaonengelea iPhone gani mkuu iPhone walishahama kwenye LCD mkuu ni mwendo WA amoled,oled,Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.
Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.
iSheep nawasubiri.
Hata tecno anazo Oled mkuu.We unaonengelea iPhone gani mkuu iPhone walishahama kwenye LCD mkuu ni mwendo WA amoled,oled,
Ni kweli hata ao Tecno vioo vya oled wameanza kuvitoa hapo juzi tuHata tecno anazo Oled mkuu.
Ukitaka mjadala uhamie kwenye Oled utahamia. Sijakubishia.
Sasa simu bora inakuwaje na kioo cha bei rahisi?Samsung ni simu Bora Sana lakini tukija upande wa spare utaliaa! Imagine tunaenda Kwa series right?
Sijasema ni bei rahisi mkuu na Samsung ndio waanzilishi WA amoled,oled,p.oled,Qled displays dunian.Sasa simu bora inakuwaje na kioo cha bei rahisi?
Yaani kioo cha samsung kiwe bora halafu kifanane bei kioo cha Iphone chenye ukungu?
Huwa nawashangaa sana iSheep wanapolalamika Vioo vya samsung kuwa bei ila hawagusi kabisa utofauti wa quality baina vioo vya samsung na Iphone.
-Samsung s6plain Vs iPhone 6plain.
-Samsung s7edge Vs iPhone 7+
-samsung s8+ Vs iPhone 8plus
-samsung s9+ Vs iPhone X
-samsung S21 Vs iPhone 12
I hope haupo serious.Ni kweli hata ao Tecno vioo vya oled wameanza kuvitoa hapo juzi tu
Hukunielewa hapo nilichokuwa nataka kuwaonyesha watu kuwa Samsung ni simu ghali Sana kuinuunua,kuigalamikia inapoharibika mkuu so Samsung is more expensive than iPhone.Samsung S6 ni Super amoled, corning Gorilla glass 4, 577ppi with QHD display unafanishaje na LCD takataka ile iliyopo kwenye Iphone tena 720p?
Vioo vya sasmung na Iphone haviwezi kaa kwenye mzani mmoja, Ni battle nyepesi sana kwa samsung.
Labda Mimi ndo sijui ni Tecno gani hiyoI hope haupo serious.
Tecno wametoa simu ya kwanza yenye Amoled 2016, Niletee Iphone ya mwaka huo au before mwaka huo yenye Oled.
Nipo nimekaa pale.
Who cares?Tunaangalia utendaji kazi wa simu. Tecno na Samsung ni android lakini kiutendaji Samsung unaelewa habari yao
Who cares?
Samsung ni android.
Hana tofauti na tecno.
Hilo ndo linamfanya watu wamuone hayupo serious.
Angekuwa na OS yake atleast watu wangempapatikia kama Apple.
Tecno Phatom 6 ina Amoled imetoka September 2016, Iphone ndio nao wakaja na amoled a year later kwenye Iphone X....Labda Mimi ndo sijui ni Tecno gani hiyo
Kati ya Simu nilizotumia.Huawei imetulia sana
Ni balaa wametoa Google pixel 7 juzi hapa iyo ndo mashine sasa iyo ya Kwanza kwenye picha ni balaaa.Hiyo google pixel 6 naskia ni habari nyingine.