Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.

Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.

iSheep nawasubiri.
We unaonengelea iPhone gani mkuu iPhone walishahama kwenye LCD mkuu ni mwendo WA amoled,oled,
 
Samsung ni simu Bora Sana lakini tukija upande wa spare utaliaa! Imagine tunaenda Kwa series right?
Ku-conpare bei za vioo[emoji116]

-Samsung s6plain Vs iPhone 6plain.
-Samsung s7edge Vs iPhone 7+
-samsung s8+ Vs iPhone 8plus
-samsung s9+ Vs iPhone X
-samsung S21 Vs iPhone 12

Ivo ivo jaribu kwenda Kwa mtililiko Kwa ku_compare bei ya spare parts zake ndo utajua Samsung ghali kununua,kuzihudumia, ila kuuuza Una uza Kwa cheap Sana tofaut na iPhone.

iPhone ni ghali kuinunua lakini ni simple kuihudumia,na kuiuza ni ghali pia kwanini?

Apple wanajua kubrand simu zao Kwa muda mrefu tuseme pia sababu ya simu zao bado ukinunua na kuiuza bei hazipishani Sana ni sababu hawana simu nyingi na kwenye game hawako Mda mrefu Sana 2009.
Ndio waliingia officially katika utengenezaji WA simu na matoleo yao si mengi ukilinganisha na Samsung Samsung wao wanamatoleo mengi zaidi na wameanza kitambo. Niseme hivi

iPhone simu zao kununua ni ghali sababu bado wanamatoleo machache tofauti na Samsung.
 
Samsung ni simu Bora Sana lakini tukija upande wa spare utaliaa! Imagine tunaenda Kwa series right?
Sasa simu bora inakuwaje na kioo cha bei rahisi?

Yaani kioo cha samsung kiwe bora halafu kifanane bei kioo cha Iphone chenye ukungu?

Huwa nawashangaa sana iSheep wanapolalamika Vioo vya samsung kuwa bei ila hawagusi kabisa utofauti wa quality baina vioo vya samsung na Iphone.
 
Sijasema ni bei rahisi mkuu na Samsung ndio waanzilishi WA amoled,oled,p.oled,Qled displays dunian.
 
-Samsung s6plain Vs iPhone 6plain.
-Samsung s7edge Vs iPhone 7+
-samsung s8+ Vs iPhone 8plus
-samsung s9+ Vs iPhone X
-samsung S21 Vs iPhone 12

Samsung S6 ni Super amoled, corning Gorilla glass 4, 577ppi with QHD display unafanishaje na LCD takataka ile iliyopo kwenye Iphone tena 720p?

Vioo vya sasmung na Iphone haviwezi kaa kwenye mzani mmoja, Ni battle nyepesi sana kwa samsung.
 
Hukunielewa hapo nilichokuwa nataka kuwaonyesha watu kuwa Samsung ni simu ghali Sana kuinuunua,kuigalamikia inapoharibika mkuu so Samsung is more expensive than iPhone.
 
Samsung ni android.

Hana tofauti na tecno.

Hilo ndo linamfanya watu wamuone hayupo serious.

Angekuwa na OS yake atleast watu wangempapatikia kama Apple.

[emoji16][emoji16]mchunga mbuzi wa huko mbeya anasema watu wanamuona samsung hayuko serious[emoji23][emoji23]

jf bana aaaah.
unajua ukipata hasara mwaka mmoja tu unaofata huzalishi simu???sasa inaonekana samsung wanapata faida ndio maana unaona bado wanaendelea.

ukisema samsung na tecno ni simu sawa,unafanya nifikirie hapo uko na iphone 5c unakula maisha sawa na mtu wa iphone 11 maana wote mnakula ios bila tabu.
 
Hiyo google pixel 6 naskia ni habari nyingine.
Ni balaa wametoa Google pixel 7 juzi hapa iyo ndo mashine sasa iyo ya Kwanza kwenye picha ni balaaa.
20220921_112705.jpg
 
Back
Top Bottom