Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Samsung ni android.Nilichogundua hapa wengine wanapozungumzia Samsung wanazungumzia hizi mid-range Samsung kama A-series hizo ni kwa ajili ya wenye kipato cha chini. Na hapa Samsung yuko sahihi kwa sababu alitaka pia awe na soko kwa watu wa hali ya chini aende sawa na simu za Kichina kama Tecno, Infinix, Vivo, Xiaomi n.k
Samsung flagship phones ni balaa lingine hapa tunazungumzia sasa Galaxy S-series
iPhone anangoja hapo kwenye Galaxy S‐series
Ni vile tu iPhone ni Mmarekani anajua jinsi ya kuibrand bidhaa yake
Hana tofauti na tecno.
Hilo ndo linamfanya watu wamuone hayupo serious.
Angekuwa na OS yake atleast watu wangempapatikia kama Apple.