Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Haya ni matunzo ya mtu binafsi , wala haina uhusiano wowote na ubora , ww kama unadosha dondosha simu yako ikapasuka kuna uhusiano gani na ubora? Au umekanyaga na gari moja ikasalimika??
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
 
Cm ambayo ilikuwa ni flagship miaka hiyo ni nokia ikaja blackberry. Then iphone took over. Iphone ukiangalia upande wa picture videos software security na hardware ni unique in it's way. Kama ni first time user wa iphone lazima ujione mshamba flani hivi unlike Samsung.
Sijui ka unaelewa ulichoandika
 
Sijui ka unaelewa ulichoandika
Ndio naelewa. Unaeza niambia kwa miaka hio flagship ya nokia ilikuwa simu gani? Jibu langu binafsi ni zote. Cjui wewe jibu lako mawazo yanatofautiana.
 
Ndio naelewa. Unaeza niambia kwa miaka hio flagship ya nokia ilikuwa simu gani? Jibu langu binafsi ni zote. Cjui wewe jibu lako mawazo yanatofautiana.
Mwaka gani

Kwenye lumia kulikuwa na lumia 920
 
Mwaka gani

Kwenye lumia kulikuwa na lumia 920
Nazungumzia kabla ya lumia huko nyuma kwa kina express music na wengineo. Kila simu ilikuwa ni flagship ndio maana mpaka leo hii wamerudia kuzitengeneza upya na kuzirudisha sokoni. The same as blackberry.
 
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
Narudia n matunzo ya mtu, simu zangu siwekag protector na hazijawah kupata hata scratch tu na hakuna watu wana simu zimelika pemben ya vioo kama watu wa iphone
, eti unaongoza , kwamba ujisemeee tu upuuz alafu useme unaongoa

Fact n kama

Ram , leo iphone 14 zina RAM 4 mpaka 6 , wakati samsung ram hizo zilikua kwenye matoleo kuanzia 2016, leo iko kwenye RAM 16

Technology ya vioo iliyopo kwenye iphone 14 ambayo ndio inatumika kwa mara ya kwanza na iphone , samsung ako nayo since 2016

Wakat Iphone kwa mara ya kwanza amevuka megapix 12 kwenye iphone pro max, samsung mwaka 2020 kwenye galaxy s20 ultra aligonga megapix 108 na samsung s20 5g yenyewe ni megapix 48 ambayo leo ndio pro max 14 amekuja nayo , s20 n simu za 2020

Wakat iphone bado ako kwenye 4k@60 fps
Samsung alishafika 8k@24fps ambayo unaweza recodia movies ukauza netflix Amazon etx ikachezwa

Samsung za kuanzia 2020 hiz galaxy s series zinaenda hadi 920 fps kitu ambacho bado iphone anaota labda iphone 30 huko ndio atakuja kuwa nacho

Nimekuchapa ngapi hapo.?

Ninyamaze tu , unatumia iphone 12 yenye vioo vinavyofanana na infinx unakuja vimbia watu wa samsung? Acha bange
 
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
Acha uongo kijan, tatizo ujui chochote tangu lini kioo cha iPhone kikawa kigumu kuliko cha Samsung [emoji1][emoji1], unajua hao iPhone wananunua hizo displays wapi?

Ni bora ungesema vioo vya Samsung vipo nje nje kwa style yao hasa ya edge

IPhone displays zao zipo kama mathematical compass [emoji16]

Watu wanatumia Samsung J,A,S na note za kipindi kile

Acha ujuaji kijana
 
Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa

Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22

Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku

Mimi nina S21 Ultra na 13 pro max ila naiona wazi tofauti ya Jumlisha na msalaba, usifanye utani na iphone. One thing ambayo iko wazi ni samsung kwenye Display na Camera ni moto!
 
Mimi nina S21 Ultra na 13 pro max ila naiona wazi tofauti ya Jumlisha na msalaba, usifanye utani na iphone. One thing ambayo iko wazi ni samsung kwenye Display na Camera ni moto!
Waambie kaka iphone is next level!
 
1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps

2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.

Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Aisee? Hizi mbona features ndogo sana kwa Xiaomi 11T Pro yangu?

Mko serious kweli?
 
Mimi nina S21 Ultra na 13 pro max ila naiona wazi tofauti ya Jumlisha na msalaba, usifanye utani na iphone. One thing ambayo iko wazi ni samsung kwenye Display na Camera ni moto!
Weka hapo kitu ambacho 13 pro max anamsizid samsung s22 ultra.. weka mezani sio mtazamo ,

NB. s21 ultra n toleo moja na iphone 12 promax, linganisha vitu vinavyo fanana, 13 pro max iende na s22 ultra

Samsung n Samsung period, just imagine 21 kuna vitu umekiri imezid 13 pro max je s22 ultra??? Umejipiga tobo mkuu

Shusha data
 
Waambie kaka iphone is next level!
Nimekuchapa umekimbiq, nae namchapa pia mkimbie wote

Alafu kwann uliganishe simu za miaka tofaut?? 13 pro max iende na s22 ultra na sii vingine

Sasa jamaa amekiri s21 ina vitu inazid 13 pro max.. fikiri 22 ultra itakuaje.?
 
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!

Hongera, una nyumba lakini au umepanga chumba?
 
Back
Top Bottom