natumia iphone,[emoji28][emoji28]ila ukiona mtu ana iphone anaidiss samsung,jua tu katumia samsung za hapa na pale.
mtu ambaye katika harakati zake kakutana na s8 kwenda juu,lazima apate kigugumizi kuisimanga samsung.
apple wenyewe katika kuhakikisha wanatoa kile kinacholalamikiwa na wateja kwa sasa zipo apps unawezatumia kuweka ringtone za miziki kwenye simu ya iphone,tofauti na hapo awali kabla ya IOS 15.6 ilikuwa ni uchuro,mpaka uparangane kweli kweli,hii ni kusogea karibu zaidi kwa wateja zaidi.
siku hizi nyimbo,video na hata mafile makubwa unawezapokea kupitia apps kama xender na documents nk,haihitaji jasho kama zamani.
kkutwa hapo tunakwenda kuiona IOS mpya 16 ikiwa na muonekano tofauti kabisa wenye machojo yaliyopo android miaka kadhaa.
allways on,hii ipo samsung toka 2016,apple wanaweka mwaka huu.
iphone ni simu poa sana,ila hand to hand na samsung,utapata faida 16 samsng huku apple una 9.