Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Hapa natumia Samsung s10 plus 5g huu ni mwaka wa nne simu inamuonekano mzuri kiooo Safi kuliko hata hii iPhone 14 pro max[emoji3]

Hapa nilipo hakuna mtumiaji wa iPhone kohoa mbele ya hiii simu,kwanza hua wakiishika wanaona kabisa washika simu sio sabuni

Mwisho mm kama mtumiaji wa android hapa natumia vpn nishasahau kununua mb nashusha movies series kama sina akili nzuri


Samsung oyeeee
View attachment 2351333
VPN gani
 
Nina pesa za kawaida ..ukinipa iPhone bure mfano hi0 13 nachukua ila siwezi toa pesa nunua iPhone yoyote ile labda Kama Nina duka la simu nanunua kwa ajili ya kuuza but not kutumia


Napenda kitu unique kizuri hakipo kila sehemu imagine unatumia simu mtu anaona tu anagundua anasema hii si iPhone 8 hii? Au huu muundo wa smart 5 nk natumia ambayo haiuzwi ovyo
Huwezi kuta madukani imeekwa kwenye jua inasubiri nunuliwa
 
Cwezi tumia mchina mkuu haswa Huawei ambao ni cm ya hovyo unanishangaza sana kama nawewe ni mtumiaji wa Huawei!
This comment shows how wewe ni mweupe when it comes to smartphones.

Kuna flagships za Realme na Vivo zipo tu zimepoa ila ni simu kali sana, Kuna xiaomi 12s ultra, kuna huawei kuanzia mate 30 pro kuja huku mbele.

Siku ukizijua simu nzuri uje tudiscuss.
 
This comment shows how wewe ni mweupe when it comes to smartphones.

Kuna flagships za Realme na Vivo zipo tu zimepoa ila ni simu kali sana, Kuna xiaomi 12s ultra, kuna huawei kuanzia mate 30 pro kuja huku mbele.

Siku ukizijua simu nzuri uje tudiscuss.
Mate 50, naona wametumia Snapdragon kikwazo kimeondolewa nini?
 
Achana na hizo mkuu njoo iphone hotojuta trust me! Iphone inaongoza kwa kila kitu kwenye upande wa smartphones smartwatch na laptops au computer!

Inaongoza kwa kila kitu ndio nini, The only positive about iphone ni video... Napo siyo all aspects, Kuna ultra slow more za huawei nikikuletea hapa Iphone hana uwezo wa kushoot miaka 800.
 
Back
Top Bottom