Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

iphone is the Best🥰❤️‍🔥
Binafsi niliwahi kutumia Blackberry, nikaja Samsug “S” Series & Galaxy Note, kisha nikahamia iphone nikaridhishwa! Pia kwa Experience yangu iphone battery zao Hudumu zaidi ya samsung.
 
Watakubishia ila huwa naIelewa sana
Unaielewa Google pixel halafu Samsung?[emoji3] hujui kua pixel zinaitegemea Samsung kwa 70%

Watu Samsung mnaichukuliaje[emoji3] Apple wenyewe display zao zote wananunua kwa Samsung pamoja na storage [emoji1][emoji1]


Samsung ingekua ni bid bidhaa ya marekani sijui ingekuaje?
 
ATA MFANYAJE IPHONE ITABAKI KUWA NO 1 KWA KILA KITU IPHONE NI SIMU KALI MNO KILA TOLEO NI [emoji91] WAVIVU NA FORM 4 FAILURE HAWAWEZI KUELEWA OVER
 
Binafsi ni mtunzaji sana wa simu na si mpenzi wa protector wala cover kabisa, ila ndugu, accidents do happen- out of nowhere.
Mimi Simu ikipata mchubuko tu sio crack mchubuko tu siitaki tena
 
natumia iphone,[emoji28][emoji28]ila ukiona mtu ana iphone anaidiss samsung,jua tu katumia samsung za hapa na pale.

mtu ambaye katika harakati zake kakutana na s8 kwenda juu,lazima apate kigugumizi kuisimanga samsung.

apple wenyewe katika kuhakikisha wanatoa kile kinacholalamikiwa na wateja kwa sasa zipo apps unawezatumia kuweka ringtone za miziki kwenye simu ya iphone,tofauti na hapo awali kabla ya IOS 15.6 ilikuwa ni uchuro,mpaka uparangane kweli kweli,hii ni kusogea karibu zaidi kwa wateja zaidi.

siku hizi nyimbo,video na hata mafile makubwa unawezapokea kupitia apps kama xender na documents nk,haihitaji jasho kama zamani.

kkutwa hapo tunakwenda kuiona IOS mpya 16 ikiwa na muonekano tofauti kabisa wenye machojo yaliyopo android miaka kadhaa.

allways on,hii ipo samsung toka 2016,apple wanaweka mwaka huu.

iphone ni simu poa sana,ila hand to hand na samsung,utapata faida 16 samsng huku apple una 9.
 
Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.

Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.

iSheep nawasubiri.

mkuu kuanzia iphone x vioo walianza kununua kwa samsung.
ujanja wanaofanya ni kubana resolution,tofauti na wenzao wa samsung.
 
Back
Top Bottom