Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

We utakuwa unaongelea zile huawei za miaka ya 2012/kurudi nyuma...Kipindi hiko huawei ilikuwa kawaida...Saivi huawei ni moto wa kuotea mbali...kwa trend za mauzo zilivyokuwa ilikuwa inaonekana kabisa huawei inakuja kuipiku iphone kwa mauzo.. wamarekani wakaona isiwe kesi wakaipga vikwazo...Sasa jiulize makampuni ya simu china ni mengi, kwann waizuie huawei tu?
Ilishaipiku, Iphone alikuwaga nafasi ya 3 hatujasahau.

Halafu kwa sasa Xiaomi atakuja kuwagalagaza soon tu, Mwaka jana kuna muda Xiaomi alikaa top kwenye market share.
 
Nilichogundua hapa wengine wanapozungumzia Samsung wanazungumzia hizi mid-range Samsung kama A-series hizo ni kwa ajili ya wenye kipato cha chini. Na hapa Samsung yuko sahihi kwa sababu alitaka pia awe na soko kwa watu wa hali ya chini aende sawa na simu za Kichina kama Tecno, Infinix, Vivo, Xiaomi n.k

Samsung flagship phones ni balaa lingine hapa tunazungumzia sasa Galaxy S-series

iPhone anangoja hapo kwenye Galaxy S‐series

Ni vile tu iPhone ni Mmarekani anajua jinsi ya kuibrand bidhaa yake
 
Google pixel ndio simu
Huyo jamaa anasifia Iphone kwenye camera akaangalie comparison ya google pixel 6 na iphone 13 pro kwenye channel ya Mr. Whosetheboss,

Hiki ni nini simu inashindwa kuisolate object na background?
Screenshot_2022-09-10-17-05-52-407_com.vanced.android.youtube.jpg


Screenshot_2022-09-10-17-06-05-105_com.vanced.android.youtube.jpg






Link ya video hiyo akaangalie iphone yake inavyogaragazwa.
 
Cwezi tumia mchina mkuu haswa Huawei ambao ni cm ya hovyo unanishangaza sana kama nawewe ni mtumiaji wa Huawei!
Huawei alikuwa na balaa nyingine kabisa, mpaka Google aliwahi kucollabo naye wakatoa simu moja kali sana, enzi za matoleo ya simu za Nexus, enzi hizo anacollab na makampuni mbalimbali. Kabla hajaanza kutoa simu yeye kama yeye. Hii hapa ni Huawei Nexus 6P
08833EA1-D1FF-43EB-BF1A-640E0A50FA4C.jpeg

Hii ni miaka mingi iliyopita, na huawei alikuwa moja ya brand zinazoheshimika sana. Huawei aliwekewa vikwazo vingi ambavyo vilipelekea akashuka sana kiushindani.
 
Mleta mada kaleta hoja, ajibiwe kwa hoja. Sidhan sana kama mtu kutetea Huawei kwa matusi ndo kunaifanya iwe simu bora, bali ni kiashiria cha kuzidiwa upeo. Mtu anatoa anatoa kejeli utadhan Ren Zengfei ni baba yake, kumbe hata mwenye kampun hana hata habari 😆 😆

Huwezi ukakuta professionals or experts wa mambo ya simu wanabishana kwa matusi na dharau, bali kwa specifics- na hapa ndo msingi wa hoja unapopaswa kuwepo.

The best trait kuhusu mleta mada ni kwamba ni very smart kwenye kujenga hoja kwa staha, na huu ndo ukomavu. Palipo na matusi hapana fikra daima.
 
Back
Top Bottom