Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung S22 Ultra vs Iphone 14 Pro Max Comparison.

Humu Iphone kachakazwa vibaya mno.

IMG_20220911_104447.jpg
 
Shida mmarekani anasifia vyake muda wote nakupinga from Asia na hasa China kwakua ndio mpinzani wake kiuchumi but products za Asia is user friendly sana na kwa uchumi wa Africa zinaendana.
 
Huwaoni kwenye hii
Mtu anakuambia Iphone ina hardware ngumu na durable zaidi kuliko Samsung, while huyo Samsung anatumia Gorilla Glass Victus+ na Iphone ana a mere Gorilla Glass.

Samsung anatumia Aluminum Frame while Iphone anatumia Stainless Steel Frame.

Glass front (Gorilla Glass Victus+), glass back (Gorilla Glass Victus+), aluminum frame
Glass front (Gorilla Glass), glass back (Gorilla Glass), stainless steel frame


Mpaka hapo Samsung 3 na Iphone 0.
 
Acheni Ufamba wa Kufananisha Simu za Kiume (SAMSUNG) Na hizo wa watoto wa Mama lialia (Iphone).

Msije Na Utetezi rahisi Rahisi wa kusema Iphone zina Security nzurii. Hamna lolote Hata SAMSUNG ukicheza na Setting mbona ina Security kali pia.

Hizo zenu zitabaki kuwa Simu za Show off tu ila hazina Maana yeyote kwanzia Camera na Ubora wa Simu kweny Mzunguko wa Matumizi ya simu kwa wakati mmoja

Anayebisha Aje Aniite Mbwa akiwa Na Iphone yake hata hiyo ya 14pro max itakayotoka kesho kutwa mimi nimesimama palee nikiwa na SAMSUNG NOTE 20 utra
Wabongo bana.. Waulize sasa hiyo security wanalinda nini.
 
Huu uzi umevamiwa na watumiaji na wapenzi wa Samsung alafu wanaleta fujo. Twendeni kwenye facts sio kuleta hasira zenu kisa iphone inatawala kwa sasa!
 
Endeleeni kulia cm mauzo hayaonekani. Iphone ni baba lao.
Screenshot_20220911-145218.jpg
 
Google pixel is the best of all the time,ukibisha hujawahi tumia pixel
 
Weka hapo kitu ambacho 13 pro max anamsizid samsung s22 ultra.. weka mezani sio mtazamo ,

NB. s21 ultra n toleo moja na iphone 12 promax, linganisha vitu vinavyo fanana, 13 pro max iende na s22 ultra

Samsung n Samsung period, just imagine 21 kuna vitu umekiri imezid 13 pro max je s22 ultra??? Umejipiga tobo mkuu

Shusha data

achana na mwanasiasa huyo atwambie hiyo s21 kaitoa wapi??!

sisi wengine ni machizi simu,na tuna maduka ya washkaji ambayo tunaweza kwenda na kutest simu moja mpaka nyingine.

S21 ni simu simu ambayo inaisumbua iphone 13 kwa kila aspect,labda speed ya kuwaka tu.
 
Back
Top Bottom