Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Ahaa apo nimekusoma mkuu.Phatom X ina Amoled imetoka September 2016, Iphone ndio nao wakaja na amoled a year later kwenye Iphone X....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa apo nimekusoma mkuu.Phatom X ina Amoled imetoka September 2016, Iphone ndio nao wakaja na amoled a year later kwenye Iphone X....
Phantom X inetoka 2021 mkuuPhatom X ina Amoled imetoka September 2016, Iphone ndio nao wakaja na amoled a year later kwenye Iphone X....
Nilikuwa namskiliza Tu KwanzaPhantom X inetoka 2021 mkuu
Nilitaka kushangaaa Tecno tangu lini wakawahi kuwa na amoled display kumzidi iPhonePhantom X inetoka 2021 mkuu
Hapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhoneHow security ni 0? iPhone ina security ipi ambazo Samsung haina? Tuanzia hapa ili tupate balance
Umewahi ku hack Samsung ngapi? Tuanzie hapo kwanzaHapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhone
Walichoweza apple ni kutoa online updates that's why kuna ugumu pia simu zao kuwa kuingiliwa kirahisi.Hapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhone
Hapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhone
Huawei Mate 40 Pro na Huawei IDSawa basi tuanze kwenye upande wa security which is the best?
Na hapo unacomment ukiwa unatumia Nokia C21. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps
2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.
Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Natumia samsung ila sioni kama kuna cha ajabu napata mtu wa tecno hapati.[emoji16][emoji16]mchunga mbuzi wa huko mbeya anasema watu wanamuona samsung hayuko serious[emoji23][emoji23]
jf bana aaaah.
unajua ukipata hasara mwaka mmoja tu unaofata huzalishi simu???sasa inaonekana samsung wanapata faida ndio maana unaona bado wanaendelea.
ukisema samsung na tecno ni simu sawa,unafanya nifikirie hapo uko na iphone 5c unakula maisha sawa na mtu wa iphone 11 maana wote mnakula ios bila tabu.
kwani kwenye iphone unapata kipi cha ajabu ambacho wa tecno hapati???Natumia samsung ila sioni kama kuna cha ajabu napata mtu wa tecno hapati.
popote ulipo agiza kinywaji nitalipiakwani kwenye iphone unapata kipi cha ajabu ambacho wa tecno hapati???
tena anakuzidi yeye mpaka x anadownload.
Mimi ni MTU WA kuhama Hama Leo utaniona na Samsung,Google pixel, mwezi ujao iPhone napenda kuchanganya iPhone Wana mapungufu yao na android wanayakwao uzuri WA iPhone bwana ni secure Sana na ina uhondo wake ndani jinsi ukiitumia Kwanzia security,mpangilio WA apps,muonekano,network,napenda emojis zao pia, na ukiingia appstore hamna app ilio na ushubwada Yani Wana mchujo sio kama android apps za Kila Aina unazipata playstore takatala zote utazikuta appstore wanaweka apps zenye akili na za uhakika kiufupi iPhone wanajua kimuonekano WA ndani na security na mpangilio WA apps emojis,japo simu zao zinakulimit ku-accsess Baadhi ya vitu.Ila android users hawana creativity kabisa.
In terms of security hivi iphone alikuwa anammatch blackberry?Mimi ni MTU WA kuhama Hama Leo utaniona na Samsung,Google pixel, mwezi ujao iPhone napenda kuchanganya iPhone Wana mapungufu yao na android wanayakwao uzuri WA iPhone bwana ni secure Sana na ina uhondo wake ndani jinsi ukiitumia Kwanzia security,mpangilio WA apps,muonekano,network,napenda emojis zao pia, na ukiingia appstore hamna app ilio na ushubwada Yani Wana mchujo sio kama android apps za Kila Aina unazipata playstore takatala zote utazikuta appstore wanaweka apps zenye akili na za uhakika kiufupi iPhone wanajua kimuonekano WA ndani na security na mpangilio WA apps emojis,japo simu zao zinakulimit ku-accsess Baadhi ya vitu.
Naona samsung mnaliwazana [emoji1787]