Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Tunatofautiana mkuuBinafsi napenda selfie camera iwe kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatofautiana mkuuBinafsi napenda selfie camera iwe kati
Selfie kameara inabidi iwe under display isionekane au warudishe ile ya ku pop up, ni raha sana kufaidi kioo chote bila kubana nafasi ya selfie cameraBinafsi napenda selfie camera iwe kati
Hii ni Xiaomi Mi Mix 4Selfie kameara inabidi iwe under display isionekane au warudishe ile ya ku pop up, ni raha sana kufaidi kioo chote bila kubana nafasi ya selfie camera
Selfie kameara inabidi iwe under display isionekane au warudishe ile ya ku pop up, ni raha sana kufaidi kioo chote bila kubana nafasi ya selfie camera
Kwenye upande wa zooming Huawei hafai duniani mzeee hao wote ni wachunba kwake.We jamaa unachekesha Sana
iPhone 14 Pro Max ni mavi tu mbele ya S23 Ultra
*S23 Ultra ina 10× optical zoom wakati 14 Pro Max inaishia 3× optical zoom. Zooming ya Samsung ni next level huyo iPhone anakalishwa
*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa (iPhone 14 Pro Max) inakosa fingerprint scanner. Hiyo Apple Face ID ni overhyped tu na kamwe haiwezi kuwa more secure than fingerprint scanner ya kwenye S23 Ultra
*Inachekesha sana kuona Apple ana-advertise kuwa iPhone 14 Pro Max inafika brightness ya 2000nits wakati S23 Ultra ina 1750 nits tu na bado kwenye real life S23 Ultra ni brighter than iPhone 14 Pro Max
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vina resolution kubwa kuliko vya Samsung wakati S23 Ultra ina resolution ya 1440×3088p hiyo iPhone 14 Pro Max ina 1290×2796p.
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vinaonesha details vizuri kuliko vya Samsung wakati pixel density ya kioo cha iPhone 14 Pro Max ni 460ppi, huku cha S23 Ultra ni 500ppi
*Inachekesha sana kuona kampuni ya Apple inatumia panel ya IPS LCD kwenye simu ya bei kama iPhone 11, cha ajabu iPhone 13 bado ina 60Hz refresh rate [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona mtu anasema hakuna simu kama iPhone wakati S23 Ultra ina stronger CPU, stronger GPU, faster memory type na high gaming performance kuliko iPhone 14 Pro Max.
*Inachekesha sana kuona base storage ya Samsung Galaxy S23 Ultra ni 256GB, lakini kwa simu expensive kama iPhone 14 Pro Max bado base storage ni 128GB [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona S23 Ultra inakuja na fast 45W wired charger Ila mpinzani wake iPhone 14 Pro Max analeta utani wa slower 27W charger na anaiita Fast charger [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona wireless charging kwenye S23 Ultra ni 15W huku iPhone 14 Pro Max ni utani mwingine wa 7.5W [emoji38][emoji38]
*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa inatumia karibia 2hrs ku-charge simu kutoka 0% hadi 100%
Samsung Galaxy S23 Ultra (charging from 0% to 100%)... 59min
iPhone 14 Pro Max (charging from 0% to 100%)... 1hr 52min
*Inachekesha sana kuona Samsung Galaxy S23 Ultra inarekodi 8K videos kwenye kamera ya nyuma ila iPhone 14 Pro Max bado inarekodi maximum video za 4K tu [emoji38][emoji38]
*Kuna comment imenichekesha Sana, eti mtu anasema kwa kuwa Samsung inatumia Android basi ipo Sawa na Tecno.
Samsung Galaxy S23 Ultra ina feature ya Samsung DeX na iPhone haitokuja kuwa na feature nzuri kama hii miaka ya karibuni
Samsung is better than iPhone.
Sio tu ni opinion yangu, bali ndio ukweli pia
Mkuu Mi 11 Ultra inazoom 120xKwenye upande wa zooming Huawei hafai duniani mzeee hao wote ni wachunba kwake.
Honor sio Huawei tenaMkuu Mi 11 Ultra inazoom 120x
Leo nimeshika Huawei Magic 4 Pro inazoom 100x
Hapa naona imepitwa kidogo na Xiaomi yangu hivyo najikuta natembea kifua mbele
Ni Brand ya Huawei mkuuHonor sio Huawei tena
Namaanisha Honor ameshajitenga kutoka kwa HuaweiNi Brand ya Huawei mkuu
Ni kama Realme brand ya Oppo
Na Redmi brand ya Xiaomi
Mimi nafanya software mkuu hizi simu nina ziservice mara kibao
Hapo sahihi mkuuNamaanisha Honor ameshajitenga kutoka kwa Huawei
Sikuhizi Honor inatoa simu kali kuliko Huawei na inasupport Google services. Kuhusu Honor kuwa Huawei ni story Tu kwa sasa
Honor inatumia software ya MagicOS ambayo inafanana na ile EMUI ya Huawei ila kwa sasa Honor inajitegemea
Huawei anaendelea kutengeneza simu zisizo na Google services ila kwa sasa simu zake sio competitive Sana.
Ndio kiongozi, muonekano bomba kwelikweli huuHii ni Xiaomi Mi Mix 4
Inatumia under display selfie camera. Ndio unataka simu iwe hivi?View attachment 2599146
Hata Mimi nimeupenda huo mwonekanoNdio kiongozi, muonekano bomba kwelikweli huu
Itakuwa wateja hawajawa tayari kwa hii tech, ila hiyo itakuwa ndo future trend. Smartphone are getting better everydayHata Mimi nimeupenda huo mwonekano
Inaonekana ni ZTE ndio inaendelea kutumia underdisplay camera
Hii ZTE Axon 40 Ultra
Makampuni mengine yameacha. Sijui shida nini View attachment 2600528
Itakuwa wateja hawajawa tayari kwa hii tech, ila hiyo itakuwa ndo future trend. Smartphone are getting better everyday
Sasa kama iphone anatengenezewa vioo na samsung sasa kwa akili ndogo tu nan hapo ypo juu.
Sawa lakini kwa case ya Samsung na iPhone Samsung ndio bora zaidiSimu ni zaidi ya kioo, kuna chip ,kuna os na vitu vingine. unaweza tengeneza parts za mtu fulani lakini yeye ana component zingine zinazokuzidi