Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama marekani alivua kofia mimi ni nani?Kwa vigezo vipi? Au ni mahaba yako!
Asantee sana mkuu hawa samsung sympaphizers hawataki kuukubali ukweli mchungu especially kaka yangu National AnthemUpande wa simu iPhone Hana mpinzani , although Samsung anafight back, brand zingine zinazojarbu kuclose the gape ni Xiaomi , Huawei kaishaaa , labda afufuke sa hv
One of the biggest recent iOS releases introduced app tracking notifications, allowing you to opt out of apps tracking you across your phone. This was a major win for privacy advocates and a huge blow to many third-party companies, like Facebook.Kwa angle ipi ambayo mnasema hanq mpinzani
Ni simu nzuri ila sasa mfumo wake wengine tunaona kama mizinguo flan iviAchana na hizo mkuu njoo iphone hotojuta trust me! Iphone inaongoza kwa kila kitu kwenye upande wa smartphones smartwatch na laptops au computer!
Unacho leta hapa ni ushabiki wako kwa iPhone. Uzuri wengine tushatumia zote na iPhone kila tolea huwa nakuwa nalo hata hapa nasubiri kuweka order ya 14 ila haimaanishi ipo above ya samsung kwa kila kitu au Huawei. Tunanunua simu kwa kazi sio show off! Kila simu ina strength na wekaness zake..One of the biggest recent iOS releases introduced app tracking notifications, allowing you to opt out of apps tracking you across your phone. This was a major win for privacy advocates and a huge blow to many third-party companies, like Facebook.
Nope sijawah ni nokia kisha samsungNakuelewa kwasababu ina mambo mengi! Ulishawahi kutumia blackberry?
Sawa basi tuanze kwenye upande wa security which is the best?Unacho leta hapa ni ushabiki wako kwa iPhone. Uzuri wengine tushatumia zote na iPhone kila tolea huwa nakuwa nalo hata hapa nasubiri kuweka order ya 14 ila haimaanishi ipo above ya samsung kwa kila kitu au Huawei. Tunanunua simu kwa kazi sio show off! Kila simu ina strength na wekaness zake..
Noma sana mkuu,mtu anasifia tuu sumsung kwasababu hajawahi tumia simu aina nyingineHiyo at least kidogo inakuja kuja haswa kwenye security kama ile google pixel 6!
Tekno baba lao sio🤣Espy toto huu sio uzi wa tekno!
Unataka niongelee kwenye security, ilahli penyewe hujui chochote unapozema security 🤠🤠🤠 itakuwa vituko, watu mnasema hiki hakina security ushawai haki icho unachosema hakina security, nimetumia sana samsung sijawai oata tatizo la kiusalama na nimetumia iphone pia.. Sijui unataka security ipo? Au kwakua iOS kuwa closed system ndio mnaona security yenyewe hiyo?Sawa basi tuanze kwenye upande wa security which is the best?
Mtu kuwa hacked kama unatumia simu mara nyingi ni kutoka kwenye zile applications unazodownload hata iphone sio immune wa hizo vitu. Ndio maana ya third parties!Unataka niongelee kwenye security, ilahli penyewe hujui chochote unapozema security 🤠🤠🤠 itakuwa vituko, watu mnasema hiki hakina security ushawai haki icho unachosema hakina security, nimetumia sana samsung sijawai oata tatizo la kiusalama na nimetumia iphone pia.. Sijui unataka security ipo? Au kwakua iOS kuwa closed system ndio mnaona security yenyewe hiyo?