Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Sawa lakini kwa case ya Samsung na iPhone Samsung ndio bora zaidi
Mwisho wa siku mtu unaangalia unapenda nini Ila overall bado Samsung ni zaidi ya Apple ukilinganisha devices zao
Kuna watu wanunua iPhone sababu ya security,
Sasa sisi wakina kajamba nani kwa security ya nini?
Kibongobongo customisation is better than securityHujaeleza kwanini ni bora kuliko iphone. Kuna kitu kinachosababisha watu wanunue iphone na kuna kitu kinasababisha watu wanunue samsung.
Samsung inakupa flexibility wkt iphone based on security zaidi.
Lazima ziwe tofauti. Mwisho wa siku user anatakana nini
Mkuu iPhone zina security gani unayoizungumzia hapa?!??Kuna watu wanunua iPhone sababu ya security,
Sasa sisi wakina kajamba nani kwa security ya nini?
Wachina weusi mna shidaHao wote kwa Huawei ni wachumba
Kuiflash nasikiaga ni ngumu kinoma yaan labda hyoMkuu iPhone zina security gani unayoizungumzia hapa?!??
Au unaposema security kwenye iPhone unamaanisha nini????
Ametoa opinion yake hata wewe unaruhusiwaWachina weusi mna shida
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike beiKuiflash nasikiaga ni ngumu kinoma yaan labda hyo
Kibongobongo customisation is better than security
Pia One UI ina features nyingi nzuri kuliko iOS mfano Samsung DeX
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike bei
Simu ambazo hata zikiingia password tu haziflashiki kwa sasa ni Sharp/Arrows, hizi ndo mpaka sasa ni pasua kichwa na ndo simu zenye security kubwa kuliko zote duniani
Ha ha haAmetoa opinion yake hata wewe unaruhusiwa
Kwa nini umuite Mchina mweusi?