Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Wapo wanaohama kutoka flagship za Oppo, Vivo na ZTE kwenda Samsung. Watashangaa kutokuta chargerMimi sijasema mbaya Boss...embu fikiri anayenunua earpod ya laki 3 akakaa nayo miaka na anayenunua za elfu 80 kila miezi 6 nani anasave? Hapo sijaangalia quality ya bidhaa na more advanced features.
By exprience mtu anayenunua Simu hatoki simu ya laki 2 akahamia milioni 2, katika 100 mteja huyu ni 1 na huwa wanatambo sana so swala la kununua huwa sio shida zake
Watu hupanda ngazi na kufika milions
Na cha ajabu sasa hata baadhi ya simu za Aseries mbona hazina chaji wala earphones pia
Usije uka-assume simu ni Samsung tu. Zipo simu nyingi tu za bei ghali