Samsung yazidi kuwa Iphone

Samsung yazidi kuwa Iphone

Sina hiyo simu natimia redmi na s8
Nilikuwa naichukulia kawaida kwa sababu make yake haipo fancy sana.
Macho matatu
Autofocus bomba
Good photo quality
Nadhani kwa ushamba wangu kuna vitu vya ziada sijavijua....

Anyways lazima nibadilishe ninunue new version. Samsung si rahisi kuachana nayo
 
Ila S8 nayo hatari sana
 
Sim card ishaanza kuwa replaced tayari, tunapoelekea na simu zitakua replaced.
Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Nilikuwa natumia Wi-fi ya simu yangu kupata internet kwenye pc yangu,sasa simu yangu hiyo imekufa na sina hela.Je,ni kifaa gani cha bei rahisi kabisa ambacho kinatoa wi-fi ambayo inaweza kunipa internet kwenye pc yangu?Mimi huwa sina matumizi makubwa ya internet kwenye hiyo pc yangu kwa hiyo nahitaji speed ndogo tu au ya kawaida kabisa.Kifaa hicho kiwe kinatumia line ya simu mkuu au hata vinginevyo.
 
Hivi smart vitochi ama simu used zenye 4G

Kwa watumiaji wa Tecno smart Kitochi

Mpya 40k mpaka 50k kutegemea na mtandao, used waweza pata chini ya hapo.
 
Hizi bhana sikio linakuwa comfortable sana mkuu, ila zile sikio linaminywa ukiongea unaongea kwa sauti balaa unajua watu hawakusikii hahahaha.
Hahahahahah hizi nyanga zinaleta ear fatigue. Unapoweka mda mrefu sehemu ya sikio ambayo ina contact na frame ya earphone lazma utaskia inauma.
 
Back
Top Bottom