Africayetuswahilitv
Senior Member
- Sep 24, 2022
- 168
- 221
vipi about xiaomi?Niko kwenye Infinix nilishawahi kuwa na iphone 6s+ zamani nikaiuza sikuifurahi.
Nikitoka hapa kwenye Infinix nitaenda Google pixel labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi about xiaomi?Niko kwenye Infinix nilishawahi kuwa na iphone 6s+ zamani nikaiuza sikuifurahi.
Nikitoka hapa kwenye Infinix nitaenda Google pixel labda
Naona Samsung wameboresha prods zao sana sana.Mi natumia S8 nilibandua hayo matakataka ila hii amoled imekaa bila tatizo
Sina hiyo simu natimia redmi na s8Naona Samsung wameboresha prods zao sana sana.
Camera ya hii simu ni superb
redmi ngpiSina hiyo simu natimia redmi na s8
Ya kawaidaredmi ngpi
Nilikuwa naichukulia kawaida kwa sababu make yake haipo fancy sana.Sina hiyo simu natimia redmi na s8
Ila S8 nayo hatari sanaNilikuwa naichukulia kawaida kwa sababu make yake haipo fancy sana.
Macho matatu
Autofocus bomba
Good photo quality
Nadhani kwa ushamba wangu kuna vitu vya ziada sijavijua....
Anyways lazima nibadilishe ninunue new version. Samsung si rahisi kuachana nayo
Ngoja nigugo walah.Ila S8 nayo hatari sana
Samsung Galaxy S8 ni simu ya 2017, miaka 6 iliyopitaNgoja nigugo walah.
Ni toleo la lini hilo maana mie huwa sinaga mambo mengi kikubwa usalama wa simu uwapo online
Ila ina camera nzuri kuliko Infinix, Tecno za 2023Samsung Galaxy S8 ni simu ya 2017, miaka 6 iliyopita
Mimi hapa natumia ya mwaka 2022.Samsung Galaxy S8 ni simu ya 2017, miaka 6 iliyopita
NdioIla ina camera nzuri kuliko Infinix, Tecno za 2023
siwezi nunua simu old yenye more than 3yrsSamsung Galaxy S8 ni simu ya 2017, miaka 6 iliyopita
Usitutukane tafadharisiwezi nunua simu old yenye more than 3yrs
Gari naweza hata la 2005 Ila simu hapana
Wengi masikini wananunua midrange au high end za zaman miaka hii kwamba kipindi kile hawakuwahi na pesa[emoji16]
Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Nilikuwa natumia Wi-fi ya simu yangu kupata internet kwenye pc yangu,sasa simu yangu hiyo imekufa na sina hela.Je,ni kifaa gani cha bei rahisi kabisa ambacho kinatoa wi-fi ambayo inaweza kunipa internet kwenye pc yangu?Mimi huwa sina matumizi makubwa ya internet kwenye hiyo pc yangu kwa hiyo nahitaji speed ndogo tu au ya kawaida kabisa.Kifaa hicho kiwe kinatumia line ya simu mkuu au hata vinginevyo.Sim card ishaanza kuwa replaced tayari, tunapoelekea na simu zitakua replaced.
Hivi smart vitochi ama simu used zenye 4GMkuu samahani,nje ya mada kidogo.Nilikuwa natumia Wi-fi ya simu yangu kupata internet kwenye pc yangu,sasa simu yangu hiyo imekufa na sina hela.Je,ni kifaa gani cha bei rahisi kabisa ambacho kinatoa wi-fi ambayo inaweza kunipa internet kwenye pc yangu?Mimi huwa sina matumizi makubwa ya internet kwenye hiyo pc yangu kwa hiyo nahitaji speed ndogo tu au ya kawaida kabisa.Kifaa hicho kiwe kinatumia line ya simu mkuu au hata vinginevyo.
Kumbe mkuu hivi vitochi huwa vina wi-fi?!Siamini!Hivi smart vitochi ama simu used zenye 4G
Kwa watumiaji wa Tecno smart Kitochi
Mpya 40k mpaka 50k kutegemea na mtandao, used waweza pata chini ya hapo.
Mkuu shukrani sana nimepata feedback kwenye hio link uliyoweka hapa,ni kweli vina wi-fiHivi smart vitochi ama simu used zenye 4G
Kwa watumiaji wa Tecno smart Kitochi
Mpya 40k mpaka 50k kutegemea na mtandao, used waweza pata chini ya hapo.
Hahahahah mchina kaingilia katiTatizo mchina kaingilia game unauziwa fake kwa bei ya OG
Hahahahahah hizi nyanga zinaleta ear fatigue. Unapoweka mda mrefu sehemu ya sikio ambayo ina contact na frame ya earphone lazma utaskia inauma.Hizi bhana sikio linakuwa comfortable sana mkuu, ila zile sikio linaminywa ukiongea unaongea kwa sauti balaa unajua watu hawakusikii hahahaha.