Samsung yazidi kuwa Iphone

Samsung yazidi kuwa Iphone

Na hili ndio tatizo la wabongo wengi, kuweka doubt kwenye kila kitu ambacho hawakielewi.

Sasa unapima distance ya 2017 to 2023 na kuona kama ni mbali sana hivyo umbali huo lazima kuna vitu kuhusu mfumo wa chaji utakuwa umeboreshwa kwenye matoleo mapya, hivyo uone kuna uhitaji mkubwa wa kuwepo kwa chaja zinazoendana na mfumo huo mpya.

Haipo hivyo Mkuu

Umeambiwa existing users wataweza kutumia chaja zao za zamani kwenye devices mpya bila kikwazo kwasababu ya mfumo wa chaji walioweka ni very compatible na chaja zote.

Kampuni linapotoa tamko kama hilo linakuwa limefanya tathmini na kujihakikishia kuwa hakutakuwa na changamoto kwenye chaja za zamani kutumika kwenye devices mpya.

Huyo jamaa wako kivyovyote hakutumia chaja ya zamani ya Samsung, alikuwa anatumia chaja feki zile ambazo ndani kuna waya mbili

Mosi, Shambulia HOJA usimshambulie mleta hoja
Usiwafanye wabongo wote wajinga na hawana reasoning
Tunajua FACT na tunajua propaganda za kibiashara

Pili siongei kitu sikielewi bali naongea through experience
Nimekutolea mfano wa jamaa yangu na s23 na mimi mwenye na mke wangu
Nikinunua charger dukani au online stumii wembe kuchana ndani kukagua kuna nyaya ngapi ndani, natumia recommendations, reviews na na kusoma details zake
Shida yote hii ni kwasababu sijapewa charger original HAKUNA UTETEZI MWINGINE

Katika ulimwengu wa technology na haswa ya simu 2017 na 2023 ni mbingu na aridhi mkuu, ni parefu mmno na kuna manadiliko makubwa mmno
Hapa unazungumzia S8 Vs S23, Iphone 8 Vs iphone 14 pro max
Nimekuuliza kwani Samsung Wana charger moja standard kwa simu zao zote kuanzia 2017?
NOPE
S8 ina support charger ya wattt 15 wakati S23 ni watt 25 hadi 45
Ukitumia watt 15 kwa S23 unahitaji hadi masaa manne kujaza simu wakati ukitumia watt 25 ni chini ya lisaa limoja
Na hapo sijazungumzia cable
Numbers dont lie mkuu achana na porojo za mazingira

Nakupa mfano rahisi sana
Kama leo hii ikitoka S15 na ikauza simu milioni 10 inamaana kutahitajika charger milioni 10
Assume watu hawa waanze kutumia charger za zamani
Je zile simu walizotumia mwanzo huwa zinapotea hazitumiki tena?
Hata ukiuza au ukigawa au ukibadilisha bado itahitaji charger ili itumike
Kwahiyo watarudi tena kununua charger milioni 10 na kampuni zinapiga hela huku wewe umekomaa wanalimda mazingira
 
Ila wewe ni fresh kuwaita wengine brainwashed?

Is that fair?

Acha double standard tufanye mjadala wenye tija.

Kusoma details za products sio sababu za kufanya kilichoandikwa kiwe sawa na unachokikuta ndani.

Kuna USB flash imeandikwa Samsung 16GB halafu ukiichomeka kwa PC inasoma volume hiyo hiyo ila ukiweka Movie ya 2GB haichezi yote.

Kwa hiyo personal experience yako inaonesha dhahiri ulinunua chaja ambayo ni replica, kumbuka wahuni wengi wanatumia majina ya makampuni makubwa kuweza kuuza bidhaa zao feki.

Lakini pia nakubaliana na hoja yako kuwa chaja zinatofautiana uwezo na ndio maana nimelielezea huko juu kuwa Samsung waliona endapo baadhi ya wateja wao wakaamua kutumia chaja za new tech basi wazipate kwa bei ya punguzo ambayo Samsung ilielekeza.

Angalia, ukitumia chaja ya S8 yenye watt 15 itachukua dakika 98 kujaza full S23.

Hiyo ni standard charging

Wakati ukitumia 45 watt itakuchukua dakika 62 kuijaza S23 mpaka iwe full.

Ratio hapo ya kutoka 2017-2023 latest tech ya charger imeleta utofauti wa dakika 30 tu.

Na hayo ni makadirio ya chini, kama ulikuwa ni mdau wa Samsung maana yake after 2017 ulipata new device iliyokuja na chaja yenye watt zaidi ya 15
 
Mkuu ngoja tu nikubaliane na wewe kwamba ni kweli jamaa wameondoa charger kwenye box kulinda mazingira
 
Uzuri ni kwamba nimeelezea hili swala katika namna zote mbili, kimazingira na kibiashara labda kama hujasoma post zangu zilizotangulia.

Ila nimetoa asilimia kubwa ya kimazingira kama ndio sababu kupitia policy yao ya 2019 kutokomeza plastic material ambayo yamekuwa yakisababishwa na bidhaa zao.

Hivyo utaona hapo hata kwenye boxes za simu yale material ya plastiki yamekuwa replaced na makaratasi hiyo yote ku minimize uchafu.

Screenshot_20230426-142424.png
 
View attachment 2600273
Kwa hiyo unataka kusema akina Xiaomi wanaoweka charger kwenye box na accessories nyingine wanankiuka sheria za utunzaji mazingira [emoji57][emoji57]
 
Kwanza unabidi uelewe kuwa hakuna sheria universal inayolazimisha kila kampuni kufanya hivyo.

Hiyo ni global policy ya kuhamasisha kupunguza takataka za plastiki katika mazingira, hivyo kama kampuni lazima litaangalia ni kwa namna gani litaweza kupunguza hizo plastiki bila kuathirika kiuchumi.

Mfano mwaka 2020 Xiaomi walisema wanapunguza asilimia 60 ya plastiki kwenye box la simu mpya ila chaja itakuwepo. Hiyo ni hatua nzuri maana yake wamelipokea vizuri hiyo sera na ni mwanzo mzuri

Screenshot_20230426-150034.png
 
Mosi, Shambulia HOJA usimshambulie mleta hoja
Usiwafanye wabongo wote wajinga na hawana reasoning
Tunajua FACT na tunajua propaganda za kibiashara

Pili siongei kitu sikielewi bali naongea through experience
Nimekutolea mfano wa jamaa yangu na s23 na mimi mwenye na mke wangu
Nikinunua charger dukani au online stumii wembe kuchana ndani kukagua kuna nyaya ngapi ndani, natumia recommendations, reviews na na kusoma details zake
Shida yote hii ni kwasababu sijapewa charger original HAKUNA UTETEZI MWINGINE

Katika ulimwengu wa technology na haswa ya simu 2017 na 2023 ni mbingu na aridhi mkuu, ni parefu mmno na kuna manadiliko makubwa mmno
Hapa unazungumzia S8 Vs S23, Iphone 8 Vs iphone 14 pro max
Nimekuuliza kwani Samsung Wana charger moja standard kwa simu zao zote kuanzia 2017?
NOPE
S8 ina support charger ya wattt 15 wakati S23 ni watt 25 hadi 45
Ukitumia watt 15 kwa S23 unahitaji hadi masaa manne kujaza simu wakati ukitumia watt 25 ni chini ya lisaa limoja
Na hapo sijazungumzia cable
Numbers dont lie mkuu achana na porojo za mazingira

Nakupa mfano rahisi sana
Kama leo hii ikitoka S15 na ikauza simu milioni 10 inamaana kutahitajika charger milioni 10
Assume watu hawa waanze kutumia charger za zamani
Je zile simu walizotumia mwanzo huwa zinapotea hazitumiki tena?
Hata ukiuza au ukigawa au ukibadilisha bado itahitaji charger ili itumike
Kwahiyo watarudi tena kununua charger milioni 10 na kampuni zinapiga hela huku wewe umekomaa wanalimda mazingira

Kimsingi waliona jau kuweka charger ya kisasa watt 25 kwa iphone au watts 60 kwa samsung kisha wakuongezee $100 hapo juu ya bei ya simu.

Lakini wanatoa maelezo ya kipuuzi kwenye maswali magumu.
 
Samsung bdo itabak kuw na features nyingii zaidi compared to IPhone.
Iphone ni simu ya kilimbukeni mno

Ingekuwa hivyo ingekuwa size ya kina techno muda huu. iphone ni simu ya kilimbukeni. Its depend your approach when it comes to smartphone. Kila mtu ana taste yake.
Wa iphone atamponda wa samsung na wa sasmsung atamponda wa iphone.

Si zote zina weakness na advantages.
 
Lakini kuna moja ina advantages nyingi kuliko nyingine
 
In my eyes ziko sawa hakuna aliemzidi mwenzake. Ila ni difference zilizoko. Na hizi brand zina approach tofauti, haziko sawa. Its up to you user una approach nn wkt unatafuta smartphone
 
Achana na users' choice, ongelea UI zenyewe kwanza
Hizo differences ndio zina-create advantages na disadvantages. Haziwezi kuwa sawa ikiwa zina approach tofauti. Sikatai kuwa user ndio atachagua ipi inafaa
Ila tu ninachosema ni kwamba One UI ina advantages nyingi kuliko iOS
 
Kuna vitu ambavyo ios imezidi one ui.
From day one ios ilitengezwa with little customization but speed and security.

One UI ilitengezwa with extreme customization

Ndio maana kama ni mtu wa visual sana one UI ni one of the best
Hapa kamzidi ios

Lakin ukiwa mtu wa performance approach, simple and secured ios utaona inafaa.

But mwisho wa siku user ndio ataamua, maaana yeye ndio anajua anahitaji nini.
 
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina msingi kutoka Kwa kampuni ya simu ya Iphone.

Hivi ni vitu baadhi ambavyo Samsung kaiga kutoka Kwa Iphone na vimeleta mabadiliko hasi Sana kwa watumiaji wa hizi simu za Samsung;

1 Wameiga kuondoa 3.5 mm jack kutoka kwenye simu za Iphone ;

Mwaka 2017 iphone waliondoa 3.5mm jack ya kuingiza Ear phones kutoka kwenye simu zao za Iphone 7. Matokeo yake Iphone walipondwa Sana na watumiaji wake na kukemewa vikali na kupondwa na makampuni ya simu ikiwemo Samsung.Chanzo Cha kuondoa 3.5 mm jack ilikuwa ni sababu Iphone walishindwa kutengeneza kioo full screen huku 3.5mm Jack ikiwepo.Iphone wanadai kwamba waliondoa 3.5 mm jack Ili waweze kutengeneza full screen BIla kizuizi.Kitu ambacho simu za android ilishaweza kutengeneza huku 3.5 mm jack ikiwepo.Tuseme tu android phones ZIPO mbele kiteknlolojia zaidi ya iPhone .

Swali langu ninajiuliza kwanini Samsung waliamua kuondoa 3.5 mm jack kwenye simu zao Kwa kumuiga iPhone wakati wanajua Iphone waliondoa hicho kitu sababu ya kukosa teknolojia ya kutengeneza full screen BIla kutoa 3.5mm jack?

2 Wameiga kutoweka charger na cover za simu kwenye Box la Simu mpya kama wanavyofanya Iphone ;

Nasikitika Sana kuona Samsung wamepata ujasiri wa kupakia simu tu kwenye Box BIla charger Wala Cover kama simu zingine za Android zinavyofanya.Watu wanatoa mamilioni lakini hawapati product zilizokamilika kwenye Box.Ni upuuzi mtupu.

Wakati simu zingine za Android zinajitahidi kuweka Hadi pre installed screen protector na accessories za simu zinazohitajika Sana Samsung wapo busy wanazidi kuziondoa.

Mimi ni mdau wa Samsung lakini hapa niseme tu Samsung wamefeli pakubwa.

Ni ajabu kukuta Flagship phone kama galaxy S23 ultra imekuja tu na USB Haina charger ni upuuzi mtupu tu.

NI BORA NIHAMIE KAMPUNI ZINGINE ZA SIMU MAANA SAMSUNG WAMEBADILIKA KUWA IPHONE SIO WAO TENA.

Shame on you ShameSung
Google pixel ndo mwisho wa matatizo
 
Samsung vioo vyake vinachora mistari bila kudondoshwa sijui kwanini? hata ukitembelea GSMArena ni full malalamiko.
 
Back
Top Bottom