samuel999 yupo wapi?

samuel999 yupo wapi?

Ila kwanini wakenya weongi mbona hawaji kwenye majukwaa mengine kama intelligence, MMU, chit-chat,Elimu n.k

Labda kwa hofu ya KISWAHILI, si unajua tena ni KIGUMUUUUUU!..DUH!
 
Labda kwa hofu ya KISWAHILI, si unajua tena ni KIGUMUUUUUU!..DUH!
Haha.. wakenya wapo vizuri kiswahili mfano wewe mbona huongea vizuri.

Ila mnaweza tumia kiingereza pia. Watanzania tunaelewa lugha zote za kimataifa[emoji16][emoji16]
 
Hahaaa!..husiseme Mkuu!..kumbe kweli mwenyeji, kule kuna jamaa zake Samuel999 kibao.
Kule kuzuri sana walah! Napatamani hadi kesho.
Hali ya hewa afu na wakenya watu wazuri sana walikuwa wananipenda sana mimi mbongo.
Na nikienda town wenyewe wanasema taoo,
Fully burudani, nikapendwa na mke wangu akanipa mambo.

Alikuwa ni hatari ananikamata ananikumbatia kwa nguvu utadhani ananidai.
Yule dada nilikuwa namwekea kichwa tu yy ashamaliza.
Nadhani alinipend sanaa adi akawa analia
Dada alikuwa mtamu sana yule ..
Kokote ulipo felister dada wa kikenya.
 
Hata hivyo sidhani kua ni hofu kivile, nadhani wakenya walio wengi hawajazoea kusoma maandishi ya kiswahili hususan ikiwa unajaribu kuwafahamisha jambo,huwapiga chenga yaani ni rahisi kwao kulielewa mada au jambo likiwa limeandikwa kwa kiingereza.
Hii inatokana na mfumo wa elimu tangia utotoni , yaani kiswahili kinafundishwa kama somo tofauti tena kivyake.
Wengi wao hawajihagaishi kulijua lugha .
 
Hata hivyo sidhani kua ni hofu kivile, nadhani kua wakenya walio wengi hawajazoea kusoma maandishi ya kiswahili hususan ikiwa unajaribu kuwafahamisha jambo,huwapiga chenga yaani ni rahisi kwao kuielewa mada au jambo likiwa limeandikwa kwa kiingereza.
Hii inatokana na mfumo wa elimu tangia utotoni , yaani kiswahili kinafundisha kama somo tofauti tena kivyake.
Wengi wao hawajihagaishi kuijua lugha .
Yes.
Wengi kiswahili kigumu kwao.
Nashangaa wewe nani kakufundisha kiswahili fasaha hivi?
 
Haha.. wakenya wapo vizuri kiswahili mfano wewe mbona huongea vizuri.

Ila mnaweza tumia kiingereza pia. Watanzania tunaelewa lugha zote za kimataifa[emoji16][emoji16]

Hapo utakua unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa Daby,acha nikamuulize Saint Ivuga ikiwa ulisemalo ni kweli.
 
Kule kuzuri sana walah! Napatamani hadi kesho.
Hali ya hewa afu na wakenya watu wazuri sana walikuwa wananipenda sana mimi mbongo.
Na nikienda town wenyewe wanasema taoo,
Fully burudani, nikapendwa na mke wangu akanipa mambo.

Alikuwa ni hatari ananikamata ananikumbatia kwa nguvu utadhani ananidai.
Yule dada nilikuwa namwekea kichwa tu yy ashamaliza.
Nadhani alinipend sanaa adi akawa analia
Dada alikuwa mtamu sana yule ..
Kokote ulipo felister dada wa kikenya.

Ohoooh!..bado giza halijaingia naniii......naona mahaba yake yalikupanda kweli kichwani, siyo mchezo,ila mabruku kwa kufaidi Kenya.
 
Hapo utakua unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa Daby,acha nikamuulize Saint Ivuga ikiwa ulisemalo ni kweli.
Sema tu ni athari ndogo ndogo za kimatamshi. Wenzetu waganda ndiyo kiswahili kinawasumbua saana.
 
Sema tu ni athari ndogo ndogo za kimatamshi. Wenzetu waganda ndiyo kiswahili kinawasumbua saana.
Yap waganda ni ndugu wa wahaya yaani huwa wanapatana kimatamshi...
ukienda bukoba unaitwa mnyamahanga kama si kwenu na kama una asili hiyo kama mimi unaitwa omswahili.....lakini waganda nawapenda maana wengi wapo cool tu
 
Hapo utakua unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa Daby,acha nikamuulize Saint Ivuga ikiwa ulisemalo ni kweli.
Hupati shida kuongea kiswahili mkuu maana unachokiongea huwa nakiweza lakini kipo rasmi sana hivyo,nakitumia kwa kuandikia risala na barua[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Yap waganda ni ndugu wa wahaya yaani huwa wanapatana kimatamshi...
ukienda bukoba unaitwa mnyamahanga kama si kwenu na kama una asili hiyo kama mimi unaitwa omswahili.....lakini waganda nawapenda maana wengi wapo cool tu

Kweli wanafanana hadi rangi ya ngozi.

Mkuu upo huko nahitaji matoke bwana
 
Kweli wanafanana hadi rangi ya ngozi.

Mkuu upo huko nahitaji matoke bwana
Hahaaaa ni nyumbani kulee lakini kwa sasa nipo mwanza.. kumbe unapenda matoke lakini machalii ya chuga zinawashibisha kweli au senene zitakutosha maana ndio ugonjwa wangu
 
Back
Top Bottom