Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hapana mkuu. Ndo ukweli wenyewe kwa mujibu wa Truce deal au cease fire ..Naona umeamua kujifurahisha
Ila majamaa (Hezbollah) kila siku wanakiuka mpango huo na ndo mana wanatwangwa kila siku na Myahudi anajitetea kwamba Hezbollah wamekiuka Mkataba.